arkam mpogoro
Member
- May 20, 2025
- 20
- 10
Nilikuwa Pangani, chimbo Mwanalugali kitambo sana!!!Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo kikuuu
Hoja yangu ni katika suala la kuchagua wanafunzi nakuendeleza uwezo wao. Katika kipindi changu cha masomo hakuna kitu cha ziada ambacho kimekuwa specified katika utoaji wa taarifa ambao unatutofautisha na shule za kata.
Pia namna ambayo ya wanafunzi wanachaguliwa yaani wenye ufaulu wa juu asilimia kubwa ni wale waliosoma shule binafsi ( Private schools) ambako mazingira ya kujifunzia na ufaulu wa shule unakuwa wa hali ya juu.
Pia wanafunzi ambao unakuta wanamaliza shule za kata ambako mazingira ya kujifunzia ni magumu anatokea mwanafunzi ambaye anapata division 1 ya point 10 lakini still mfumo wa uchaguzi unamchukulia ufaulu wa kawaida.
Binafsi ninaona wangewazingatia hawa vijana na kuwe na utofauti wa hizi shule na za kata maana mwisho wa siku unakuta mwanafunzi wa kata kafauli afu wa special school amefeli kabisa, hii inaonesha kigezo cha uchaguzi wa wanafunzi si sahihi.
YAPI MAONI YAKO??
Yeah, zisiitwe tu special schools maana hamna maana.Hakuna cha vipaji maalumu, vipaji gani kwanza???Hizo shule ni za vijana wenye exposure za kielimu kuanzia kwenye familia zao na wenye uwezo wa kukariri.Tangu zipo hatuna watu wanaotengeneza hata viwembe, baiskeli au hata watunzi wa vitabu wanaoeleweka.
Kipimo cha kipaji maalumu ni kuweza kuendesha maisha yako bila wizi au ujambazi n.k zaidi ya hapo ni kujilisha upepo.
Kumbe Azania ni special school? 😁Hongera kwa kusoma O level na A level kwenye shule zenye Vipaji.
(Hata mm nimesoma hizo 1-6 na ni way back - and nothing special real).
maoni yangu.
As long as Mtihan wa mwisho anatoa NECTA. Basi wanafunzi wote ni sawa. awe private au gavoo bas ukifaulu na shule zile 3 ulizochagua zikamath results zako bas utapelekwa.
Ukiacha kwenda bas kuna nafas za second selection na kuna nafas za kuhamia kuziba mapengo. (Kuzingatia wale wa kata).
Nafas za hizo shule na zozote zile hawaangalii O Level umesoma wap. maana mm A Level nimesoma Azania na wanafunz wawil waliotoka Shaban robert O Level ila walideserve kuwa pale na walipachagua wenyewe. kama Nacte wasingewachagua kwa kujua wao wanajimudu kusoma Privave na za kishua ingekuwaje?.
So system iko vizur naona so far iko fair.
😂😂😂 Tumuulize imeanza lini, watu wanashindwa kutofautisha boarding schools, technical school, na special schools.Kumbe Azania ni special school?
kwa Dsm zitaje shule ambazo zilikuwa special bro.Kumbe Azania ni special school? 😁
Zinazoitwa shule za vipaji maalumu ni shule ambako serikali hupeleka wanafunzi wenye ufaulu mkubwa zaidi. Ufaulu mkubwa ndio kigezo pekee. Hakuna mambo ya vipaji hapo. Serikali haiko serious kwenye hili suala.Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo kikuuu
Hoja yangu ni katika suala la kuchagua wanafunzi nakuendeleza uwezo wao. Katika kipindi changu cha masomo hakuna kitu cha ziada ambacho kimekuwa specified katika utoaji wa taarifa ambao unatutofautisha na shule za kata.
Pia namna ambayo ya wanafunzi wanachaguliwa yaani wenye ufaulu wa juu asilimia kubwa ni wale waliosoma shule binafsi ( Private schools) ambako mazingira ya kujifunzia na ufaulu wa shule unakuwa wa hali ya juu.
Pia wanafunzi ambao unakuta wanamaliza shule za kata ambako mazingira ya kujifunzia ni magumu anatokea mwanafunzi ambaye anapata division 1 ya point 10 lakini still mfumo wa uchaguzi unamchukulia ufaulu wa kawaida.
Binafsi ninaona wangewazingatia hawa vijana na kuwe na utofauti wa hizi shule na za kata maana mwisho wa siku unakuta mwanafunzi wa kata kafauli afu wa special school amefeli kabisa, hii inaonesha kigezo cha uchaguzi wa wanafunzi si sahihi.
YAPI MAONI YAKO??
Ww umefafanua vizur.Zinazoitwa shule za vipaji maalumu ni shule ambako serikali hupeleka wanafunzi wenye ufaulu mkubwa zaidi. Ufaulu mkubwa ndio kigezo pekee. Hakuna mambo ya vipaji hapo. Serikali haiko serious kwenye hili suala.
VIpaji maalumu ndo vipaji Gani hivyo?Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo kikuuu
Hoja yangu ni katika suala la kuchagua wanafunzi nakuendeleza uwezo wao. Katika kipindi changu cha masomo hakuna kitu cha ziada ambacho kimekuwa specified katika utoaji wa taarifa ambao unatutofautisha na shule za kata.
Pia namna ambayo ya wanafunzi wanachaguliwa yaani wenye ufaulu wa juu asilimia kubwa ni wale waliosoma shule binafsi ( Private schools) ambako mazingira ya kujifunzia na ufaulu wa shule unakuwa wa hali ya juu.
Pia wanafunzi ambao unakuta wanamaliza shule za kata ambako mazingira ya kujifunzia ni magumu anatokea mwanafunzi ambaye anapata division 1 ya point 10 lakini still mfumo wa uchaguzi unamchukulia ufaulu wa kawaida.
Binafsi ninaona wangewazingatia hawa vijana na kuwe na utofauti wa hizi shule na za kata maana mwisho wa siku unakuta mwanafunzi wa kata kafauli afu wa special school amefeli kabisa, hii inaonesha kigezo cha uchaguzi wa wanafunzi si sahihi.
YAPI MAONI YAKO??
Vipaji maalumu ndo vipaji Gani hivyo?Vipaji maalumu ilikua enzi hizo miaka ya nyuma huko, ila Bado ulikua ujinga tu.... Mtu anakua Tanzania one ataishia kusoma tele engineering udzm tu au kufundisha mchikichini hakuna hata scholarship za maana, nchi wanatoa scholarships za kusomea Algeria, mwaka wa kwanza unalazimishwa kujifunza kifaransa kwanza, alafu ufanye bachelor Kwa kutumia lugha ya kifaransa, watu wakaona upuuzi.....
Tunaongozwa na failures unategemea elimu ipewe kipaumbele??? Nchi ishakua ngumu hii huwezi kuskia wasomi wanapewa airtime kwenye media watu wako busy na bonge la dada na yule msanii wa doto magari
Vipaji maalumu vya wakina Kiliba yaani sikuhizi mwanachuo Hana tofauti na mpiga debe stendi,Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo kikuuu
Hoja yangu ni katika suala la kuchagua wanafunzi nakuendeleza uwezo wao. Katika kipindi changu cha masomo hakuna kitu cha ziada ambacho kimekuwa specified katika utoaji wa taarifa ambao unatutofautisha na shule za kata.
Pia namna ambayo ya wanafunzi wanachaguliwa yaani wenye ufaulu wa juu asilimia kubwa ni wale waliosoma shule binafsi ( Private schools) ambako mazingira ya kujifunzia na ufaulu wa shule unakuwa wa hali ya juu.
Pia wanafunzi ambao unakuta wanamaliza shule za kata ambako mazingira ya kujifunzia ni magumu anatokea mwanafunzi ambaye anapata division 1 ya point 10 lakini still mfumo wa uchaguzi unamchukulia ufaulu wa kawaida.
Binafsi ninaona wangewazingatia hawa vijana na kuwe na utofauti wa hizi shule na za kata maana mwisho wa siku unakuta mwanafunzi wa kata kafauli afu wa special school amefeli kabisa, hii inaonesha kigezo cha uchaguzi wa wanafunzi si sahihi.
YAPI MAONI YAKO??
Umeandika kwa hisia sana 😀fanya mambo ya msingi hakuna shule ya vipaji maalum
Your current life is shaped by the things you consistently focus on.Hongera kwa kusoma O level na A level kwenye shule zenye Vipaji.
(Hata mm nimesoma hizo 1-6 na ni way back - and nothing special real).
maoni yangu.
As long as Mtihan wa mwisho anatoa NECTA. Basi wanafunzi wote ni sawa. awe private au gavoo bas ukifaulu na shule zile 3 ulizochagua zikamath results zako bas utapelekwa.
Ukiacha kwenda bas kuna nafas za second selection na kuna nafas za kuhamia kuziba mapengo. (Kuzingatia wale wa kata).
Nafas za hizo shule na zozote zile hawaangalii O Level umesoma wap. maana mm A Level nimesoma Azania na wanafunz wawil waliotoka Shaban robert O Level ila walideserve kuwa pale na walipachagua wenyewe. kama Nacte wasingewachagua kwa kujua wao wanajimudu kusoma Privave na za kishua ingekuwaje?.
So system iko vizur naona so far iko fair.
What you said above is irrelevant .Your current life is shaped by the things you consistently focus on.
Not your parents. Not your upbringing. If you’re still pointing fingers at them, perhaps you’re just dodging a hard look at yourself.
Azania sio Special, na haijawahi kuwa ni boarding school.
Ni huzuni kwa kweli. 😁😂😂😂 Tumuulize imeanza lini, watu wanashindwa kutofautisha boarding schools, technical school, na special schools.
DSM hakuna special school.