Shule za Tanzania Mweee

Hawa hapa ni wanafunzi wa St. Flolence academy ambayo ipo katika ardhi hii hii ya Tanzania.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana.
Tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele.
Mabingwa wa kauli mbiu, utekelezaji sifuri.
 
The irony of it ni kwamba serikali imewekwa madarakani na wazazi wa hao wfunzi. nani alaumiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…