Shule za sekondari za ST. Kata

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Shule hizi za serikali za Saint Kata zina madarasa mazuri kweli, hazina madawati, watoto wanadanganywa na portable desks. Vijibao vya mkononi vya kukandamizia.
Halafu tunaaambiwa maisha bora kwa kila Mtanzania.
Kweli CCM wanahitaji pongezi kwa kudororesha elimu.
 
KK mkuu mbona haueleweki mbona unageuka geuka, usiwe uvuguvugu, kama moto moto, kama baridi baridi. kaza buti songa mbele.
 
Kaka tuliinjoy sna hizi shule miaka sisi tunasoma. Vitabu vya Juma na Roza, madawati yalikwepo mpaka stoo unayakuta. nakumbuka wakati wa somo ya sayansi kimu, kuna topic ikifika mnapika shuleni hamrudi home basi si kuchapa ubeche! mara ya Mwisho nikiwa darasa la TANO tulipika kitu inaitwa MDOJOLELA. Mchanganyiko wa mahindi mabichi na maharage bwana weee ikawekwa na nazi juu, kachumbari pembeni na ndimu, mbona shule hizi zilikuwa bora sana?, wakati wa Mwinyi hii shida ya madawati ilianzia
 
Hata dunia haikujengwa siku moja. Miaka kadhaa ijayo hizi shule zitakuwa viwanda vizuri vya kutoa wasomi.
 
Back
Top Bottom