Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 49
Jamani baada ya majina ya wanafunzi kutangazwa kujiunga na kitato cha 5,nimekuwa nikifatilia taarifa mbalimbali za shule zetu huko nyumbani TZ, lakini cha kushangaza yaani huwezi kukuta shule ina website hata blog tu hakuna.Nilitaka kupata baadhi ya contact za shule lakini hakuna contact zao hata nilipo-gogo bado sijapata.
Jamani hivi ni uzembe wa aina gani kweli kwa shule kama Ilboru,Bwiru Boys,Minaki,Azania.. etc.. shule ambzo ziko mijini kabisa kutokuwa hata na website? hivi tatizo lake ni nini??
Nimevunjika moyo sana sio siri.