Shule za kata ndo zitaleta ukabila Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule za kata ndo zitaleta ukabila Tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Jan 27, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni wakati wa serikali kufungua macho kuona jinsi shule za kata zitakavyoleta ukabili'mtu anazaliwa hapo anasoma toka chekechea, primary ,secondary' hapo kwenye kata anasoma na jamii ya aina moja kila siku hana wakati wa kubadili mazingira tunakoenda itatusumbua sana mchaga asome kwao mpemba asome hatujengi dhana ya kitaifa halafu ndo zinaongoza kufelisha kutokana na ukosefu wa walimu,vitabu,maabara
   
Loading...