Tudokeze na sisi walichokubalianaRais was Turkey alivyo kuja bongo unajua walikubaliana nn na mzee kuhusu hii taasisi/FEZA School kwa Tanzania? Endelea tu kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tu ndo huna pesa kuna shule inaitwa libernam ipo salasala ada yake ni mil 40 kwa mwaka.Hivi bado kuna wazazi wanalipa 10mil kwa mtoto mpaka usawa huu?
Hebu tupe uthibitisho, uongo nao ni dhambi kubwa aseee..!Wewe tu ndo huna pesa kuna shule inaitwa libernam ipo salasala ada yake ni mil 40 kwa mwaka.
Unajua Rais wa Turkish na mmiliki wa hizi shule ni Mturuki anayeishi Marekani kama mkimbizi.. So jiongezeTudokeze na sisi walichokubaliana
Mkuuh ile shule hawalipi 40 mil acha uongoWewe tu ndo huna pesa kuna shule inaitwa libernam ipo salasala ada yake ni mil 40 kwa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hiyo shule ipo Salasala ipi hapo Bongo? Utakuwa unazunguzia kitu kingine wewe ila hiyo Libernam haiwezi kutoza ada hiyo.Wewe tu ndo huna pesa kuna shule inaitwa libernam ipo salasala ada yake ni mil 40 kwa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais was Turkey alivyo kuja bongo unajua walikubaliana nn na mzee kuhusu hii taasisi/FEZA School kwa Tanzania? Endelea tu kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Rais wa Turkish na mmiliki wa hizi shule ni Mturuki anayeishi Marekani kama mkimbizi.. So jiongeze
Sent using Jamii Forums mobile app