Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Leo nikitazama ChanelFive ,mwanahabari anamuuliza mwanafunzi nani raisi wa Tanganyika ,mwanafunzi wa formthree anajibu ni Ali Hasan Mwinyi ,jamaa akazidi kumuuliza nani Raisi wa Tanzania mwanafunzi akajibu J.K.Kikwete mtangazaji alipaliwa haijulikani kama na mate au kicheko.
Akaulizwa mwanafunzi mwengiine raia wa Ufaransa shule hiyo hiyo tena kwa kiswahili aliweza kumjua raisi wa ufaransa aliepo madarakani.
Mimi mtazamaji nilishindwa kosa lile ni la nani mwanafunzi,walimu,waziri au wazazi wa mtoto ,mwanafunzi formthree hamjui Raisi wa Nchi yake ???