Wanawake ndio wanaowaingiza mkenge wanaume kuingiza Watoto shule za Kingereza bila kujari uwezo halisi wa familia.Shule za serikali za bure zipo huko ulifuata nini? Lipa ada acha mbambamba!
Naona kila kitu unawasukumizia wanawakeWanawake ndio wanaowaingiza mkenge wanaume kuingiza Watoto shule za Kingereza bila kujari uwezo halisi wa familia.
Wanaume wengi wamegeuzwa mateka na wake zao mbele ya familia, mama anatafuta shule ghari Baba utowe pesa ya ada.
Kwakweli inatia huruma 80% ya wanaosomesha Watoto shule za Kingereza hawana uwezo huo, ni kujiumiza tu.
Kuna shure za bure ,sasa kwa nn ujipe mzigo ambako unaona kabisa hauwez kutoboaShule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki.
Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini.
Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli za elimu hapa Tanzania.
Baadhi ya wazazi wameshalipa zaidi ya nusu ya ada ya mwaka lakini watoto wanarudishiwa getini. Siamini kwamba huu ni utaratibu mzuri.
Mtoto ana kosa gani?
Utawala unatakiwa kuangalia utaratibu mzuri na wazazi na sio kuwatesa watoto.
Au alifikiri akilipa tozo atasamehewa ada ya watoto?sio hiyo tuuu..
shule zote wameamka nayo hiyooo!
hawataki saundi kbs