nilikwenda hapo mwaka juzi nikamkuta na kupiga nae picha kadhaa, nikaenda bweni nililokuwa ninalala la sokoine, nikaenda ona kitanda changu manake tangu nimetoka hapo ilikuwa ni miaka 21 sijakanyaga milambo, alinikumbuka kwani nilikuwa mkorofi kiaina, nikamkumbushia tukio 1 alicheka sana ila akanieleza wengine walishastaafu wapishi wenzake na wengine walishakufa ila na yeye akasema mwakani anastaafu nadhani mwaka wa 2016Msangi bado yupoooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mgurunde cup ilikua vita mwaka juzi nilipo kua tabora liitokea tifu hatari kati ya walambo na chuo cha uhadhirii waliumizwa sana watu magari yalipasuliwa viooookuna siku alfajiri tukawa tunakimbia mchakamchaka, sasa kufika pale 4 ways karibia na mihayo sekondari, tukakutana na tabora boys nao wanakimbia mchakamchaka, dadadeki, ulitembea mkono hapo, sie tusio na nguvu vinyoya tukalala mbele kurudi shule, wababe wakanyukana, na kuna siku tena tulikutana na tabora boys nadhani lilikuwa ni kombe la mgulunde pale kazima, mechi kwisha tu ngumi zikaanza mpunga wa kazima sec wote ulilazwa chini, na kuna siku wakakosea behewa la treni tukawekwa pa1 na tabora boys, kuingia tunakuta tabora boys wametuna wanapiga story, mkono ulitembea hapo mpaka tabora boys ikabidi warudi kwa station master wakapewa behewa lingine
Kuna comb zote pale kasoro biashara na kilimo tu saivmilambo kuna pcb siku hizi,
aah ndio maana kuna form 5 na 6 tu, o-level imetolewaKuna comb zote pale kasoro biashara na kilimo tu saiv
wanaume wanaosoma uhazili kwa kweli duuMgurunde cup ilikua vita mwaka juzi nilipo kua tabora liitokea tifu hatari kati ya walambo na chuo cha uhadhirii waliumizwa sana watu magari yalipasuliwa vioooo
Sokoine 5 mkuu 2009-2011 PCBsokoine au kennedy, usinikumbushe na mie nilikuwa napiga mbonji hapo hapo, miaka ya 91-94
Usifananishe tabora boys na mirambo ni vitu viwili tofauti, kwanza katika malengo ya watu wanachokifuata
1.Tabora boys wanaenda shule kusoma ili wapate vyeti, millambo wanaenda shule kujifunza ili wapate elimu
Ukiujua huo utofauti hutoifananisha milambo na shule yeyote tanzania au na A. Mashariki
Ni mwanafunzi wa Milambo pekeee anaanza kidato mpaka anamaliza hamjui mwalimu wa somo wala darasa zaidi ya mwalimu wa usafi na chakula
Lakini abaingia kwenye ushindani wa mitihani ya kitafa
Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaenza shule mpaka anamaliza shule anafanya mtihani wa mock anakujakumaliza na NECTA basi lakini matunda utayaona.
Ni mwanafunzi wa milambo pekee anaehudhuria shughuri za kijamii mf. Misiba na sherehe na kujamiiana na jamii inayomzunguka kwa kujifunza maisha halisi watu wanayoishi na yeye atakayoishi pindi amaluzapo masomo yake
Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaejua yupi ni adui yupi ni ndugu na kipi nifanye na kipi nisifanye, pia ni huyuhuyu pekeee ambaye siku zote wakiwa shule huishi kwa kuchukuliana na kuteteana kama familia, hata muwe na tofauti zenu mkiwa pale ikitokea ukafanyiwa ndivo sivyo mnaweka tofauti zenu chini mnaungana na kutoa maamuzi kwa pamoja.
MILAMBO SIO SHULE YA KAWAIDA KATIKA UKANDA HUU WA A. MASHARIKI NA KATI
Tabora boys wanasoma na Tabora Girls kama kaka na dada, Unajua maana ya NATO? acha wasije wenyewe wakanipa ban, Milambo wao shule ya wanaumeIla madogo wa Tabora Boys huwa wanawakimbiza sana kitaaluma.
Tatizo nini wazee?Hata Tabora Girls tu wanawashinda jamani
Its true broo,Basi na ile slogan yetu ya walambo ni wamoja basi ni fully cooperation!. Hahaah ulamboni ilikua raha sanaaa!!!!Usifananishe tabora boys na mirambo ni vitu viwili tofauti, kwanza katika malengo ya watu wanachokifuata
1.Tabora boys wanaenda shule kusoma ili wapate vyeti, millambo wanaenda shule kujifunza ili wapate elimu
Ukiujua huo utofauti hutoifananisha milambo na shule yeyote tanzania au na A. Mashariki
Ni mwanafunzi wa Milambo pekeee anaanza kidato mpaka anamaliza hamjui mwalimu wa somo wala darasa zaidi ya mwalimu wa usafi na chakula
Lakini abaingia kwenye ushindani wa mitihani ya kitafa
Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaenza shule mpaka anamaliza shule anafanya mtihani wa mock anakujakumaliza na NECTA basi lakini matunda utayaona.
Ni mwanafunzi wa milambo pekee anaehudhuria shughuri za kijamii mf. Misiba na sherehe na kujamiiana na jamii inayomzunguka kwa kujifunza maisha halisi watu wanayoishi na yeye atakayoishi pindi amaluzapo masomo yake
Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaejua yupi ni adui yupi ni ndugu na kipi nifanye na kipi nisifanye, pia ni huyuhuyu pekeee ambaye siku zote wakiwa shule huishi kwa kuchukuliana na kuteteana kama familia, hata muwe na tofauti zenu mkiwa pale ikitokea ukafanyiwa ndivo sivyo mnaweka tofauti zenu chini mnaungana na kutoa maamuzi kwa pamoja.
MILAMBO SIO SHULE YA KAWAIDA KATIKA UKANDA HUU WA A. MASHARIKI NA KATI
[emoji1] [emoji1] [emoji1] zaina zaina scout walikua wanakaza kaa FFU!!Mkuu ulikimbiaa zaina zaina
Usiombe kukutwaa ukidojiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] zaina zaina scout walikua wanakaza kaa FFU!!