Shule ya Sekondari Mbeya DAY!!

Shule ya Sekondari Mbeya DAY!!

Marehemu swakasonda, hastings, mwampale, second master mwakasala mzee wa viboko vyote chake na miti
Utamwambia nn hastings na fimbi yake kwapani........ Luka ukuta tuu mnalipana kisela anakuacha
 
ahaahaa hastings na rafikiye Kiduduye. Kwenye chipsi na mihogo tulikuwa na Mama one. Kulikuwa na wali mpk wa tsh. 150 by then. That waz life.
Mama one mpk leo yupo yule mama katusevu sana misosi me nahisi kajenga hata nyumba aiseeee........... Kiduduye anazama class na windproof ya pikipiki na helmet achaaaa
 
yaaah!it was the best place for me,nilikuwepo pale mwaka 2006,

nawakumbuka walimu kama [HASHTAG]#SHAURI[/HASHTAG] S.P-sjwahi kukutana na mkuu wa shule kama huyu-alikuwa safi kila idara,Mwalimu RABANI-Mzee wa misimamo,Swilla-alikuwa akiogopwa mpaka na walmu wenzie,KIDUDUYE-mvaa helment kwenye baakeli,MWANYINGILI,MASANGULA,SICHONE,n.k
 
Dah kweli umenikumbusha mbali sana. Gwasa bwana na mbwembwe zake na kale kamwili kamekomaa utafikiri Remires wa Chelsea..ha ha ha. Mama Manyama nae alikuwa anachukia sana wasichana wazuri au tudume tulitwoonekana mbegu, na shoto lake lahaula..!!
Kweli kabisa inaelekea ni miaka hiyo hiyo mkuu. Mimi nilikuwa Maiko Jodan wa enzi hizo 🙂 piga sana ball pale ktk uwanja ule uliokuwa katikati wa zege !! Pia yale mambo ya disko na yule DJ Bulushi (maiko jackson wa Mbeya, na push back lake la nguvu na don't touch dah...ama kweli vya kale dhahabu (demu wa DJ alikuwa anasoma pale mbele yetu, Hellen ? Enzi za mtemi wa mujini Biso na trupu zima la Sangu sec... !! Sisi tulikuwa pia tunakipiga sana kiputa pale na mara kadhaa tulizichapa sana na Iyunga na Meta !!

Nisajile alikuwa balaa, moto wa kuotea mbali na fegi zake 24/7

Hawa akina mulugo ndo walikuwa hawalali usiku, wanasomea miguu ikiwa ktk mabeseni na kwenda kuiba chapati kwa wamama wa jirani, nyumba za FFU ??
Huu ni ujinga uliotukuka unasifia upuuzi kama huu hivi hujaona mambo mazuri ya kusifia hadi ukasifia umalaya
 
Wakuu tuition gani ipo vizur kwa maandailzi ya A level masomo ya science mkoani mbeya??

#WAHUNI SIO WATU WAZURI
 
.
Screenshot_20190221-160008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom