Shule ya sekondari Central Dodoma yafungiwa!


M

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
367
Likes
10
Points
35
M

Malolella

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
367 10 35
Shule hii kongwe ipo Dodoma mjini imefungiwa rasmi baada ya kutotimiza vigezo. Akitoa ufafanuzi khsu uamuzi huo naibu waziri wa elimu bw Philipo Mulugo amesema shule haikidhi vigezo kwani inawalimu wawili2 na uongozi wa shule hiyo haueleweki. Mkuu wa shule ndio manager, ndio mkurugenzi, ndio mwl wa taaluma, ndio mwl wa nidhamu, ndio mwl wa zamu,ndio mhasibu, na ndio mwl wa darasa. Ukipita shuleni hapo na kujitambulisha kuwa ww ni mwl unapewa kipindi ukimaliza unalipwa na mkataba umeisha. Sababu hizo zimefanya naibu waziri kuifunga shule hiyo kwa muda usiojulikana.
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,425
Likes
7,519
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,425 7,519 280
ndiyo serikali yetu inavyopenda
watoto si wataenda kusoma kwenye
shule za vigogo, walalahoi mtajiju.
 
zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
4,897
Likes
137
Points
160
zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2011
4,897 137 160
hatima ya wanafunzi
 
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,796
Likes
89
Points
145
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,796 89 145
ni shule ya serikali au ya mtu binafsi?
 
L

Lugano5

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2010
Messages
4,360
Likes
103
Points
160
Age
25
L

Lugano5

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2010
4,360 103 160
duuuh ballaaaaa,mwl.mmoja vyeo lukuki hii ndo tanzania
 
Mtoboasiri

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Messages
5,103
Likes
106
Points
0
Mtoboasiri

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2009
5,103 106 0
Acha uzushi si ya BAKWATA ni ya MBABAISHAJI MMOJA HIVI tena MKULIMA WA ZABIBU
Labda huyo "mkulima wa zabibu" awe ameinunua hivi karibuni. Kama mjumbe mmoja alivyosema mwanzoni hiyo shule ilikuwa chini ya Agha Khan (japo yeye hakusema Agha Khan ila wahindi) zamani kabla ya shule za binafsi kutaifishwa. Ila kabla ya utaifishwaji huo Agha Khan walishawapa BAKWATA. Nina uhakika kuwa at least hadi katikati ya miaka ya 2000 hiyo shule ilikuwa chini ya BAKWATA, najua hivyo kwa kuwa nilishawahi kufundisha Mazengo Sekondari na nilikuwa na vipindi Central pia.
 
samirnasri

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
1,387
Likes
9
Points
135
samirnasri

samirnasri

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
1,387 9 135
Waende na kwenye shule ya mbunge wa dodoma mjini inaitwa city sec nadhani nayo haina walimu maana ina div zero zaidi ya 170 huku ikiwa haina div 1 na div 2 zikiwa sita tu, div 3 ziko kumi na mbili
 
M

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
367
Likes
10
Points
35
M

Malolella

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
367 10 35
Waende na kwenye shule ya mbunge wa dodoma mjini inaitwa city sec nadhani nayo haina walimu maana ina div zero zaidi ya 170 huku ikiwa haina div 1 na div 2 zikiwa sita tu, div 3 ziko kumi na mbili
Wameionesha tbc wakipiga kampeni wanafunzi waliokuwa wakisoma central waende City aka shule ya mbunge wa Dodoma mjini.
 

Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,935