Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,925
Kwani lazima utaje kabila?Enzi za marehemu mama SEIF, LAKE kuchita nami nimeenda saana, ila kokoto namshukuru Mungu sikuwahi, ila nakumbuka siku yakwanza nimeripoti tu km saa 1 usiku, kesho yakoe ahsubuh nasubiri kujisajili nasikia jina langu linatajwa swahili speakers, sitaisahau hiyo siku kwa kweli, day 1 nilibeba bucket 10 za moram. Kulikuwa na kawalimu kamoja kembambaa keusi kasukuma ndo kalikuwa kwenye english speaking programme hata jina nimekasahau, kana roho mbaya sijapataa kuonaa
Kwani l