SHULE YA BOARDING INAUZWA

SHULE YA BOARDING INAUZWA

LGF

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
1,406
Reaction score
795
Shule F1-F4 Boys inauzwa eneo la Kigamboni. Ina eneo kubwa la eka 30 kwa kupanua au kuongeza wasichana au ya Msingi au ya Ufundi. Taasisi inayomiliki shule tayari au yoyote inayotaka kuwekeza Pwani si lazima shule.
 
A sharrow type of advert...., ongeza nyama, weka picha, kifupi kuwa serious na unachokifanya!
 
Hujaweka picha maelezo hayatoshi wewe Fanya Kazi yako ya udalali kwa umakini
 
Shule F1-F4 Boys inauzwa eneo la Kigamboni. Ina eneo kubwa la eka 30 kwa kupanua au kuongeza wasichana au ya Msingi au ya Ufundi. Taasisi inayomiliki shule tayari au yoyote inayotaka kuwekeza Pwani si lazima shule.
Hiyo shule imechorwa kwenye makaratasi?
Hebu weka picha na taja eneo husika tuweze kuthaminisha maana siku hizi watu wanauza maeneo ambayo washalipwa fidia kupisha uwekezaji
 
1667751765435.png
 
Shule F1-F4 Boys inauzwa eneo la Kigamboni. Ina eneo kubwa la eka 30 kwa kupanua au kuongeza wasichana au ya Msingi au ya Ufundi. Taasisi inayomiliki shule tayari au yoyote inayotaka kuwekeza Pwani si lazima shule.

Ina majengo zaidi ya hayo yanayoonekana hapo?
 
Mbona shule imechoka hivyo... billion 20 utapata mteja kweli?
 
Back
Top Bottom