Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
jamani GT member hivi shule ni ngumu kwangu tu au hata nyinyi mnaondelea na mliomaliza ??
nilianza chekechea mwaka 1991...nikaendaaa darasa la saba nikaliua mwaka 1999..nikajiunga na form one boarding. sasa huku ndio nilikutana na mambo kwanza kuwaoshea vyombo form two (i mean form 2 hadi six.nadhani mliosoma boarding mnanipata haswa ila tukio ambayo sitayasahau ni siku ambayo niliwekewa kiatu kinachonuka mdomoni nikaambiwa nipige simu nyumbani huyu jamaa siwezi kumsahau.ila haya yote yalipita nikaingia form six boarding hapa maisha yalikuwa mazuri.story za chuo kikuu zikawa zinanipa hamasa ya kusoma nikajua kuwa maisha huko yatakuwa kama kumsukuma mlevi vile.nikafanikiwa kujiunga hehe .mambo si mambo tena .........................hadi kivuli kinakabwa huku. halafu kitu kingine watu wanajua ushatoka.sijui mambo gani mlikutana nayo wenzangu ktk hii safari...