Shule ngumu jamani kha!!

........Shule ngumu kweli kweli asikwambie mtu, kinachotakiwa ni kukaza buti.

Yaani hata mie niko choka mbaya na shule, naomba tu hiyo May mwakani ifike nimalize zangu. Japo naambiwa niendelee zaidi lakini nahitaji kupumzika ili nile maisha kidogo niachane na mavitabu.
 
Back
Top Bottom