Shule kumi ghali Tanzania

Shule kumi ghali Tanzania

Hapo japo ni brand kuwa kasoma wapi wapi lakini pia hizo zinaubora zaidi ukilinganisha na hizo zingine.
Ubora unakuwepo lakini sio technical, ada inakuwa kubwa kutokana na gharama za uendeshaji, mfano watachukua mwalimu kutoka uingereza/ Kenya na watamlipa mshahara wa milioni 6,watakula chakula kizuri labda kuku n.k, wataenda mbuga za wanyama, n.k wakati hizi shule za vumbi mshahara wa mwalimu ni laki 3. Kwa hiyo gharama kubwa aimaanishi ubora, bali inatokana na kuwa na gharama kubwa za uendeshaji.
 
Kweli gharama za uendeshaji ndizo zinafanya shule hizo kuwa ghali.
 
Japo sio guaranteed kusoma shule za bei juu na kufanikiwa kimaisha, ila ipo tofauti kubwa sana ya mwanafunzi wa shule ya msingi Keko na Breaburn international

Shule za kishua wanafundishwa kua na confidence ya hali ya juu, anaweza kusimama mbele ya mtu au watu popote pale duniani na akamwaga 'upupu' na huyo ni mtoto wa miaka 8 tu. Sasa mtoto wa Keko primary zaidi ya kucheza singeli hadharani, ukimuuliza swali lolote technical tena mbele ya watu, utasikilizia muziki wake.

All in all the word is not fair wapo wasindikizaji na wapo wanaoishi, ni vema kua na amani ya moyo tu.
Kabisa maana wote hatupo sawa wengine watakuwa Bora kuliko wengine na hii huleta kitu kinaitwa kuishi kwa kutegemeana wengine watakuwa nacho wengine watakosa.
Na haya ndio maisha yenyewe
 
Ni rahisi kwa mwanafunzi wa IST kuingia harvard kuliko st kayumba, hata kama wa st kayumba ana A zote kuanzia vidudu.

Dunia ya sasa ni connections kila sehemu, hakuna tena mambo ya vyeti.
Kudisck kupo mkulu
 
SHULE KUMI GHALI ZAIDI TANZANIA.

1- International School of Tanganyika (IST)
— Hii ndio shule ghali zaidi nchini. Iko jijini Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. IST hutoza ada kuanzia shilingi za Kitanzania milioni 34 kwa chekechea hadi shilingi milioni 71 kwa sekondari, kwa mwaka.

2. Braeburn International School
—Hii ni shule ya kimataifa ambayo iko Dar Es Salaam na Arusha. Hufuata mfumo wa IB na ada yake kwa mwaka ni kuanzia shilingi za Kitanzania milioni 20 kwa shule ya msingi hadi shilingi milioni 43 kwa sekondari.

3. Dar Es Salaam International Academy (DIA)
—Hii ni shule ya tatu kwa kuwa na ada ghali zaidi nchini. Iko Dar Es Salaam na hufuata Mtaala wa IB. Ada yake kwa mwaka ni kuanzia Shilingi za Kitanzania milioni 23 kwa shule ya msingi hadi shilingi milioni 40 kwa sekondari.

4. Iringa International School (ISS)
— Iko mkoani Iringa na hufuata mitaala miwili ya IB na ule wa Cambridge. Hutoza ada kati ya Shilingi za Kitanzania milioni 17 kwa Chekechea hadi milioni 27 kwa sekondari.

5. Saint Constantine International School
—Inapatikana mkoani Arusha na hufuata Mtaala wa Cambridge. Ada yake ni kati ya Shilingi za Kitanzania milioni 8 kwa Chekechea hadi shilingi za Kitanzania milioni 23 kwa sekondari.

6. Kennedys House Schools
—Shule za Kennedys ziko maeneo mengi duniani. Nchini Tanzania iko katika mkoa wa Arusha wakiendesha Chekechea na Shule ya Msingi. Ada zao huanzia Shilingi za Kitanzania milioni milioni 8 kwa Chekechea hadi milioni 22 kwa Shule ya Msingi. Shule hii hufuata Mtaala wa Cambridge.

7. Haven of Peace Academy (HOPAC)
—HOPAC ipo katika Jiji la Dar Es Salaam. Hufuata Mtaala wa Cambridge na hutoza ada kati ya shilingi za Kitanzania milioni 16 hadi 22 kwa mwaka.

8. Aga Khan Primary & Secondary School
—Shule hii iko katika Jiji la Dar Es Salaam, na hufuata Mtaala wa IB kama ilivyo ISM. Hutoza ada kuanzia Shilingi za Kitanzania milioni 7 hadi milioni 20.

9. Internation School Moshi (ISM)/ UWC East Africa
— Hii ndio shule ghali zaidi katika mkoa wa Kilimanjaro. Hutoza ada kuanzia shilingi za Kitanzania milioni 16 kwa chekechea hadi shilingi za Kitanzania milioni 41 kwa wale wa kidato cha tano na sita. Shule hii hufuata Mtaala wa International Baccalaureate (IB).

10.Morogoro International School (MIS)
—Hii inapatikana mkoani Morogoro na hufuata mtaala wa Cambridge. MIS hutoza kuanzia Shilingi za Kitanzania milioni 6.4 kwa chekechea hadi shilingi za Kitanzania milioni 18 kwa sekondari. Hii ni ada peke yake, mbali na fedha ya usajili na boarding kwa wale wanaolala shuleni.

Huna hela wewe wenzako wanazo .....
Naomba uniwekee na content zao hasa extra curricula. Je ubora wao ni sawa na shule za China, India, USA , UK nk.
Ubora wao upo maeneo gani ? Nami nikipata bilioni nimpeleke mwanangu huko ila iwe ubora 'quality education' sio bla bla kama shule nayoiona jirani hapa ni kayumba ya kingereza.
Tanzania kuna jayimva nyingi za kingereza ila wazazi we gi hawana elimu hawajui neno quality education.
Kuna wasomi wengi TZ hawajui neno quality education, wanadhani kingereza ndio quality education kumbe ni media of instruction.
Naomba uniwekee quality za hizo shule.
 
Pitia mtaala wa international baccalaureate utaelewa vizuri wanamaanisha nn, lakini kiufupi tu ni kwamba mtoto anaandaliwa awe na agency na ownership ya maisha yake, awe global citizen na a better person
 
Naomba uniwekee na content zao hasa extra curricula. Je ubora wao ni sawa na shule za China, India, USA , UK nk.
Ubora wao upo maeneo gani ? Nami nikipata bilioni nimpeleke mwanangu huko ila iwe ubora 'quality education' sio bla bla kama shule nayoiona jirani hapa ni kayumba ya kingereza.
Tanzania kuna jayimva nyingi za kingereza ila wazazi we gi hawana elimu hawajui neno quality education.
Kuna wasomi wengi TZ hawajui neno quality education, wanadhani kingereza ndio quality education kumbe ni media of instruction.
Naomba uniwekee quality za hizo shule.

Extracurricular (CICP) inategemeana na funding but kwa hapa wana robotics, coding, math, golf, rock climbing, martial arts, STEM as general na mengine kibao
 
Kwa sasa elimu ni ubishoo tu, na ndo mana utawaona ni matajiri, mtu wa kawaida wapo wanao weza na wana mishahara ya million 7 au 8 lakini wametoka familia masikini tu, milioni 71 per year nikiiweka Kwa akili ya huyo mtoto kiuwekezaji, na Kisha akasoma elimu ya kawaida, bado anaweza kifika mbali kielimu na akamaliza akiwa na mali pia ambayo wewe kama mzazi umeitengeneza, na inawezekana kabisa wale wenzie wa ada ya million 71 wakaja kuajiriwa naye

Msitujengee ujinga vichwani ilihali uhalisia tunaujua
Hakuna mtu anaesomesha mtoto wake kwa mil 71 kwa mwaka halaf eti huyo mtoto aje kutafuta ajira hawa wanakua tayari wana ajira zao wanaandaliwa tu
 
Extracurricular (CICP) inategemeana na funding but kwa hapa wana robotics, coding, math, golf, rock climbing, martial arts, STEM as general na mengine kibao
SINA SWALI. Mtoto kazi kwake akija kuwa mlalamishi atakuwa kajitakia.
Ila math sio extra curricular bali ni mainstream curriculum.
Mtaala tarajiwa wa serikali usipocheza humo itakuwa wametumia pesa za serikali vibaya.
 
Hakuna mtu anaesomesha mtoto wake kwa mil 71 kwa mwaka halaf eti huyo mtoto aje kutafuta ajira hawa wanakua tayari wana ajira zao wanaandaliwa tu
Well off. Ni matajiri na viongozi wakubwa ndio wanaweza kumudu ada ya milioni 71. Chikulia una way
toto 3. Milioni 200+ kwa mwaka hapo hamna cha meneja wala mkulugenzi wa galmashauti labda awe fisadi ndio atamudu.
Hizo ni shilez ni za matajiri kama vunjabei, Moe, Bakhresa nk.
 
Vunja bei ana utajiri gani sasa na ww?
 
Back
Top Bottom