Shule kama hii bongo hapo ipo jamani?

Zilikuwepo na bado zipo sana mpaka usiku huu ndugu yangu, ila mazingira, njia na maada za kufundishwa ndio zinakuwa tofauti kidogo...kumbuka jinsi ulivyojifunza ku.....
 
Dogo anaonyesha kwa vitendo kuwa anasoma KIBORORONI
 
Du kama kweli hatari kweli, pamoja na kuzungukwa na madini umasikini ndo kwaanza unazidi kuwakabili kweli ccm ni janga la dunia sasa
 
..somo la baiologia kwa vitendo, ni uamuzi tu wa mwalimu, inawezekana....!
 
duh! ticha tayari ana kitambi............na kadubwasha kanazidi kudidimia!!!
 
Naona dogo amevaa birthday suit, shule haina wasichana na nao tungependa kuona picha zao.
 
Huyo ni mwanafunzi wa Sudan-Kusini, maeneo ya mpakani na Ethipia.
Jamaa wanazungumza lugha ya Tigrinya..herufi zao zinafanana na hizo za ubaoni.

Tanzania katika umri wangu wote ..sijawahi kuona wanafunzi wakisoma uchi..hata enzi za ukoloni walijifunika shuka.
Kama kuna mtu anayo picha ya wanafunzi/mwanafunzi wa Bongo anayesoma akiwa bila nguo..'chukuchuku' atuwekee tujifunze na kuelimika.
 
zilikuwepo na bado zipo sana mpaka usiku huu ndugu yangu, ila mazingira, njia na maada za kufundishwa ndio zinakuwa tofauti kidogo...kumbuka jinsi ulivyojifunza ku.....
sawa zipo,lakini mimi sijawahi kuona mwalimu anafundisha huku akiwa uchi wa mnyama!
 
sawa zipo,lakini mimi sijawahi kuona mwalimu anafundisha huku akiwa uchi wa mnyama!

Mkuu hujasoma kozi ambazo zinasisitiza mafunzo kwa vitendo, au hujakutana na serious teachers bado...anayependa somo lake....yawezakana hata wewe umeshafundisha ukiw kama huyo teacher hapo juuu....
 
Mkuu hujasoma kozi ambazo zinasisitiza mafunzo kwa vitendo, au hujakutana na serious teachers bado...anayependa somo lake....yawezakana hata wewe umeshafundisha ukiw kama huyo teacher hapo juuu....
Teh teh teh!umenichekesha sana,nimeishi miaka mingi sana hapa duniani lakini sijawahi kuona hiki kituko!
 
Mkuu hiyo si Ethiopia? Nadhani kilugha chao kinaandikwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…