Kwa anayetaka kujenga kituo cha mafuta, shule au apartment hapa dsm na kibaha.

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
MAENEO KWA UJENZI WA VITUO VYA MAFUTA.

Kibaha baada kidogo ya mizani heka 2
mlandizi ( visiga) heka 4.5
Temeke eneo la Tameko Dsm heka 1.5
mbagara chamazi heka 1

MAENEO YA UJENZI WA SHULE
kibaha heka 2

MAENEO YA UJENZI YA CHOCHOTE
kurasini Tom Estate eneo la 100m x 100m katikati ya uwanja pana nyumba

MAENEO YA UBIA
upanga heka 1 na Ada estate heka 1

MASHAMBA
shamba la heka 300 kibaha lina maji na umeme na nyumba 1

shamba la heka 50 mlandizi lina nyumba , mifugo , solar energy nk.

VIWANJA
Dodoma mjini heka 2
kingine nje kidogo ya Dodoma barabara iendayao iringa heka 9

NYUMBA ZA ZINAUZWA
maeneo ya chamazi , kinondoni , tabata n.k
TUWASILIANE : 0657 145555, 0755 099291,0686 200 117 Thomas. Havilla Real Estate Agent.
 
Eneo la Tameco limerudishwa serikalini hivyo aliuzwi walioa hiyo kazi ya kuliuza wameomba radhi nami naomba radhi kwa usumbufu.
 
Pia kuna maeneo yamepimwa kwa ajiri ya vituo vya mafuta katika maeneo ya Tegeta na mwenge. tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu.
 
eneo lingine kwa ajiri ya ujenzi wa kituo cha mafuta au apartment lipo kinondoni kwa manyanya eneo ni kubwa na lipo kihalali kabisa vibari vyote vipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom