Shule inauzwa,ipo Mbagala bei Tsh 28 bilioni

Shule inauzwa,ipo Mbagala bei Tsh 28 bilioni

Si ya kawaida sana kwa vaileth nafaka ?
Hahahahahaaaaa. Kula chuma hicho hapo chini.

Screenshot_20260324_204141_Instagram.jpg
 
Unahitaji msaada wa bilioni ngapi?
Unajua mtu kule dodoma mpenzi kama mdhamana tunayoo hajali cha mdhamana ni hivi shemeji yako.kashikwa huko.dodoma hajatuambia why. Sasa anahitajika mtu atusaidie kumtafuta akimpata tunafidia kidogo
 
Unajua mtu kule dodoma mpenzi kama mdhamana tunayoo hajali cha mdhamana ni hivi shemeji yako.kashikwa huko.dodoma hajatuambia why. Sasa anahitajika mtu atusaidie kumtafuta akimpata tunafidia kidogo
Kwann usifunge safari uende mwenyewe.
 
SCHOOL FOR SALE or RENT as YARD/ SHULE INAUZWA.

IPO MBAGALA-TEMEKE

Eka 80

Fully fenced

Linagusa lami

Full DOCUMENTS/ HATI kamili

Panafaa
Parking ya malori
Kiwanda
Hospitali

BEI/ PRICE NI TSH 28b/

View attachment 3605816

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

#tiles #realestate #school #houseforsale #property
Ukiona video ya nje tu mtu hajaweza kuingia ndani, ujue kuna tatizo hapo, mtangazaji hajaruhusiwa kuingia ndani?
 
Biashara ya shule imekuwa hovyo sana, nyingi zinaendeshwa kwa hasara ama chini ya kiwango.....

28b sio ? Umeweka hapo 8 yako ? Sawa ndugu dalali
 
SCHOOL FOR SALE or RENT as YARD/ SHULE INAUZWA.

IPO MBAGALA-TEMEKE

Eka 80

Fully fenced

Linagusa lami

Full DOCUMENTS/ HATI kamili

Panafaa
Parking ya malori
Kiwanda
Hospitali

BEI/ PRICE NI TSH 28b/

View attachment 3605816

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

#tiles #realestate #school #houseforsale #property
Hilo likono ni lako

USSR
 
Mkono kama chatu hadi kinyaa

USSR
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom