Machozi yamenitoka baada ya kurudi shule niliyosoma miaka 20 iliyopita.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Messages
491
Points
1,000

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined May 3, 2018
491 1,000
Nilimaliza S/ Msingi miaka km 20 iliyopita. Nilipofauru kuendelea na msomo sikubahatika tena kurudi kwenye kijiji hiki toka nilipomaliza hadi mwaka huu.Nimekuta baadhi ya marafiki zangu(Classmates) wameshakufa.Ilinisikitisha sn.Baada ya kupumzika km siku 1 hv niliweza kuitembelea shule na kukuta waalimu wangu wote wa enzi hizo wamestaafu baadhi wakiwa wametangulia mbele za haki.Nimeingia kwenye madarasa niliyokua nasomea miaka hiyo,nikakumbuka jinsi tulivyokua tukisoma kwa shida, kwa kuchapwa fimbo ziszo na idadi,kuwahi namba saa 12:00 asubuhi tena mm nikiwa time keeper. Nikakumbuka jinsi mtoto wa Mwl. alivyokua akinisaidia kugonga kengele pale ninapochelewa kufika shule kwani nilikua nakaa kilometa 5 kutoka shuleni hivyo kuna wakati nilikua nachelewa kuwahi . Miaka hiyo shule ilikua shule bana asikwambie mtu. Kila mwanafunzi alikua na kiunga chake cha kufanya usafi. Kulikuwa na viranja wakatili sn kuliko hata waalimu. Wao ndo walikua wanasimamia usafi na waliruhusiwa kuchapa wanafunzi wenzao.( Sijui km kishera ilikua sahihi). Kila kiunga kilikuwa kimepangwa vema na umaridadi kwa vipande vya tofali za kuchoma.Kila kiranja alikua ana eneo lake la kusimamia na baada ya usafi alikuwepo Kiranja wa usafi aliyeitwa bwana au bi afya ambaye alikagua maeneo yote na kumpa taarifa Mwl.wa Zamu.Endapo ikitokea eneo(Kiunga) fulani hakijafanyiwa usafi basi kiranja wa eneo hilo aliwajibika kwa kuchapwa fimbo za kutosha. Kiranja wa usafi sifa yake kubwa ilikua ni lazma awe msafi na nadhifu kweli kweli! Vichapo vya fimbo zsizo na idadi ilikua ni kawaida hasa kwa mazwazwa na watukutu.Unakuta mtu anapigwa fimbo 5 za kuchelewa,fimbo 5 za kukosa hesabu,5 Kiingereza na 5 za Kukosa maswali ya Sayansi bado mkaguo wa usafi n.k kwa siku mbaya mwanafunzi aliweza kuchapwa hadi fimbo 20. Wengi waliacha shule, wengi walikimbia makwao na kuamua kua wawindaji n.k. Kumaliza darasa la saba ilikua ni ushujaa. Maisha yalikua zaidi ya kambi ya jeshi. Shuleni tulikua tunalima sn mashamba hasa kipindi cha mitihani karibia na kufunga shule. Kipindi hicho tulikua tunawachukia waalimu akwambie mtu si km leo.Enzi hizo elimu ilikua haijaingiliwa na siasa. Nakumbuka tulifauru wanafunzi 3 tu hapo ni baada ya shule kukaa miaka takribani 5 hivi bila mtu kufauru. Hakukua na kubebwa wala kupanua goli.
Baada ya kukua na kumaliza elimu ya chuo kikuu nmekuja kujua kuwa waalimu hawa pamoja na ukatili wao kuna misingi fulani waliyonijengea na kunisaidia,ambayo sijawezi kuipata popote nilikopita katika maisha yangu ya elimu.Kusema ukweli nawashuru kokote waliko.
Lakini cha kusikitisha nikiwa nimekuja hapa shuleni nmestaajabu sn kukuta shule iko hoi bin taabani. Mazingira ya shule yaliyokua yanapendeza kwa maua sasa hakuna tena. Mazingira ni machafu sn. Madarasa yamechoka hakuna anaejali. Enzi hzo tulikua tuna timu za michezo mbali mbali kuanzia riadha,netball basket,volleyball, handball na football huku mm nikiwa nahodha wa timu.Cha kusikitisha nmekuta uwanja wa mpira wa miguu umeota vichaka na magoli ya chuma yaliyokuwepo wahuni wameiba. Viwanja vingine vya michezo km netball,basket ball, handball volleyball ndo huwezi jua hata km viliwahi kuwepo.Miaka hiyo shule yetu iliweza kutoa washiriki wa michezo mbali mbali hadi ngazi ya mkoa na taifa katika UMITASHUMTA.Mimi nmecheza mpira pamoja na golikipa wa zamani wa Yanga marehemu Isumail Suma ngazi ya mkoa Tabora. Inaskitisha kukuta mambo yameharibika kiasi hiki. Kila kiko vululu vululu. Sjui tunaelekea wapi na elimu ya leo,!!
 
Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,827
Points
2,000

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,827 2,000
Umenikumbusha mbali sana. Nimekumbuka brassband ya shule ilivyokuwa ikiongoza gwaride. Nilikuwa mpiga filimbi, ngoma na kuna siku nilishika kirungu kkama kiongozi wa band
Siku hizi hivi vitu shule nyingi havipo. Sijaona kijana yeyote siku hizi akicheza filimbi mitaani. Zamani likuwa kawaida kuona mwanafinzi akijifu nza akicheza filimbi mf kuimba wimbo wa taifa nk.
 
maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Messages
1,651
Points
2,000

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2018
1,651 2,000

Unafiki uache
 
wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,941
Points
2,000

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,941 2,000

Jambo jema, nenda shuleni ita walimu kaa nao kikao, washukuru kwa kuwepo kijijini kwenu, kisha toa mchango wako wowote itakuwa jambo jema kuliko kulia...mfano kama ulipenda michezo basi waboreshee uwanja kwa kuusafisha kisha nunua vyuma na nyavu wawekee magoli, nunua jezi ya mashati na kaptula, nunua mipira 2, walu mmoja wa netball mwingine wa football kabidhi vijana jamii itakukumbuka kwa kuwela alama!
Kwa vile pia ulikuwa time keeper angalia namna unaweza boresha mnara wa kengele ili uvutie unaweza pia wapelekea kipindi/bell za kisasa.

Mwanaume lia katika format hii.
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Messages
1,579
Points
2,000

Duduvwili

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2015
1,579 2,000
Kifupi sasa hivi tumepoteza dira kwa upande wa elimu kila kitu kimegeuka siasa na hasa baada ya kuja hii kitu inaitwa elimu bure basi ndio imekuja kugongelea msumari elimu yetu ila hatuna budi kukubali matokeo impact yake itakuja kuonekana baadae sana kua tulikua tunatwanga maji kwenye kinu mfano mzuri angalia kundi kubwa la vijana mtaani na uone kama lina mchango wowote sasa hivi hata hivyo viunga vya maua mashuleni hamna achilia mbali viwanja vya michezo imebaki ni historia tuna kazi moja kusifia na kutukuza mtu mmoja anaejimwambafy full upuuzi yani
 
saleni

Senior Member
Joined
Apr 6, 2019
Messages
110
Points
250

saleni

Senior Member
Joined Apr 6, 2019
110 250
Kifupi sasa hivi tumepoteza dira kwa upande wa elimu kila kitu kimegeuka siasa na hasa baada ya kuja hii kitu inaitwa elimu bure basi ndio imekuja kugongelea msumari elimu yetu ila hatuna budi kukubali matokeo impact yake itakuja kuonekana baadae sana kua tulikua tunatwanga maji kwenye kinu mfano mzuri angalia kundi kubwa la vijana mtaani na uone kama lina mchango wowote sasa hivi hata hivyo viunga vya maua mashuleni hamna achilia mbali viwanja vya michezo imebaki ni historia tuna kazi moja kusifia na kutukuza mtu mmoja anaejimwambafy full upuuzi yani
Watoto wanakwenda shule na yeboyebo za nyumbani, wakirudi nyumbani kutwa kutafuta cd, kuangalia mapichapicha, watoto wanachezeshana vikoba mashuleni, kila siku mia mbili, ijumaa mtu mmoja wanampa pesa za wiki, zamani hayakuwepo haya.
 
nipekidogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Messages
927
Points
980

nipekidogo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2019
927 980
Umesahau kulima bustani kwa ajili ya mboga za majani kila dalasa walikuwa na matuta ya mboga za majani halafu dalasa linauzia walimu na wananch, nakumbuka dalasa letu tulikuwa na fedha zilizotokana na miradi, ila sielewi zile hela badae zilikuwa zinaenda wapi? Mpk namaliza shule ya msingi pale sikuwahi kujua matumizi yale
 
carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
4,123
Points
2,000

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
4,123 2,000
Nimesoma sehemu yoote ya viboko ulipofika sehemu ya kufaulu watu watatu pamoja na viboko vyote nineachia hapo hapo... walimu wenu walikua useless kazi yao ilikua kupunguza stess zao za maisha bila kufundisha..

Hivi unaanzaje kuwachapa wanafunzi viboko vyote hivyo halafu mwisho wa siku wafaulu watatu tu??
Useless kabisa
 
Idiot Embicile

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2019
Messages
896
Points
1,000

Idiot Embicile

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2019
896 1,000
Sasa wewe shule imefaulisha wanafunzi watatu katika zaidi ya mia unasifia?? Kwahiyo unataka kuniambia nyie watatu ndio mlikuwa na akili kuliko wale zaidi ya mia..
Tanzania kuna kasumba fulani za kizamani.Tunaichukulia elimu kama adhabu.Watu wengi wanapofeli ndipo elimu inaonekana bora.

Imagine, hata chuo kinachokamata wanafunzi wengi supplementary, carry over na discontinue huonekana bora sana.

Kumbe akili za kizamani na ushamba.Ndio maana utaona hata humu kuna washamba wanashabikia viboko shuleni na vyuo vinapowa discontinue wanafunzi wengi.

Yaani shule watu wanachapwa viboko kama ng'ombe, lakini wanafaulu watu watatu na bado unasifia?
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
4,633
Points
2,000

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
4,633 2,000
Umenikumbusha mbali sana. Nimekumbuka brassband ya shule ilivyokuwa ikiongoza gwaride. Nilikuwa mpiga filimbi, ngoma na kuna siku nilishika kirungu kkama kiongozi wa band
Siku hizi hivi vitu shule nyingi havipo. Sijaona kijana yeyote siku hizi akicheza filimbi mitaani. Zamani likuwa kawaida kuona mwanafinzi akijifu nza akicheza filimbi mf kuimba wimbo wa taifa nk.
Nilikuwa mtaalamu sana kwenye Band. Kuanzia ngoma, filimbi hadi kushika kirungu. Baadae ndio nilikuwa Band Master acha kabisa. Kwenye filimbi ndio usiseme mpaka leo ninazo nyumbani huwa nafundisha wanangu.
 
carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
4,123
Points
2,000

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
4,123 2,000
Sasa wewe shule imefaulisha wanafunzi watatu katika zaidi ya mia unasifia?? Kwahiyo unataka kuniambia nyie watatu ndio mlikuwa na akili kuliko wale zaidi ya mia..
Nimeshangaa sana na mimi...
Yaani kasifia viboko vyote halafu anakuja kumalizia kwamba wamefaulu watu watatu tu... hao walimu wasipotubu watapata taabu sana... huwezi kuwatesa wanafunzi kwa viboko vyote hivyo halafu wasifaulu.. maana haiwezekani darasa zima wenye akili wawe wanafunzi watatu tu... walimu wana kosa la kujibu
 
chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
5,326
Points
2,000

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
5,326 2,000
Nilimaliza S/ Msingi miaka km 20 iliyopita. Nilipofauru kuendelea na msomo sikubahatika tena kurudi kwenye kijiji hiki toka nilipomaliza hadi mwaka huu.Nimekuta baadhi ya marafiki zangu(Classmates) wameshakufa.Ilinisikitisha sn.Baada ya kupumzika km siku 1 hv niliweza kuitembelea shule na kukuta waalimu wangu wote wa enzi hizo wamestaafu baadhi wakiwa wametangulia mbele za haki.Nimeingia kwenye madarasa niliyokua nasomea miaka hiyo,nikakumbuka jinsi tulivyokua tukisoma kwa shida, kwa kuchapwa fimbo ziszo na idadi,kuwahi namba saa 12:00 asubuhi tena mm nikiwa time keeper. Nikakumbuka jinsi mtoto wa Mwl. alivyokua akinisaidia kugonga kengele pale ninapochelewa kufika shule kwani nilikua nakaa kilometa 5 kutoka shuleni hivyo kuna wakati nilikua nachelewa kuwahi . Miaka hiyo shule ilikua shule bana asikwambie mtu. Kila mwanafunzi alikua na kiunga chake cha kufanya usafi. Kulikuwa na viranja wakatili sn kuliko hata waalimu. Wao ndo walikua wanasimamia usafi na waliruhusiwa kuchapa wanafunzi wenzao.( Sijui km kishera ilikua sahihi). Kila kiunga kilikuwa kimepangwa vema na umaridadi kwa vipande vya tofali za kuchoma.Kila kiranja alikua ana eneo lake la kusimamia na baada ya usafi alikuwepo Kiranja wa usafi aliyeitwa bwana au bi afya ambaye alikagua maeneo yote na kumpa taarifa Mwl.wa Zamu.Endapo ikitokea eneo(Kiunga) fulani hakijafanyiwa usafi basi kiranja wa eneo hilo aliwajibika kwa kuchapwa fimbo za kutosha. Kiranja wa usafi sifa yake kubwa ilikua ni lazma awe msafi na nadhifu kweli kweli! Vichapo vya fimbo zsizo na idadi ilikua ni kawaida hasa kwa mazwazwa na watukutu.Unakuta mtu anapigwa fimbo 5 za kuchelewa,fimbo 5 za kukosa hesabu,5 Kiingereza na 5 za Kukosa maswali ya Sayansi bado mkaguo wa usafi n.k kwa siku mbaya mwanafunzi aliweza kuchapwa hadi fimbo 20. Wengi waliacha shule, wengi walikimbia makwao na kuamua kua wawindaji n.k. Kumaliza darasa la saba ilikua ni ushujaa. Maisha yalikua zaidi ya kambi ya jeshi. Shuleni tulikua tunalima sn mashamba hasa kipindi cha mitihani karibia na kufunga shule. Kipindi hicho tulikua tunawachukia waalimu akwambie mtu si km leo.Enzi hizo elimu ilikua haijaingiliwa na siasa. Nakumbuka tulifauru wanafunzi 3 tu hapo ni baada ya shule kukaa miaka takribani 5 hivi bila mtu kufauru. Hakukua na kubebwa wala kupanua goli.
Baada ya kukua na kumaliza elimu ya chuo kikuu nmekuja kujua kuwa waalimu hawa pamoja na ukatili wao kuna misingi fulani waliyonijengea na kunisaidia,ambayo sijawezi kuipata popote nilikopita katika maisha yangu ya elimu.Kusema ukweli nawashuru kokote waliko.
Lakini cha kusikitisha nikiwa nimekuja hapa shuleni nmestaajabu sn kukuta shule iko hoi bin taabani. Mazingira ya shule yaliyokua yanapendeza kwa maua sasa hakuna tena. Mazingira ni machafu sn. Madarasa yamechoka hakuna anaejali. Enzi hzo tulikua tuna timu za michezo mbali mbali kuanzia riadha,netball basket,volleyball, handball na football huku mm nikiwa nahodha wa timu.Cha kusikitisha nmekuta uwanja wa mpira wa miguu umeota vichaka na magoli ya chuma yaliyokuwepo wahuni wameiba. Viwanja vingine vya michezo km netball,basket ball, handball volleyball ndo huwezi jua hata km viliwahi kuwepo.Miaka hiyo shule yetu iliweza kutoa washiriki wa michezo mbali mbali hadi ngazi ya mkoa na taifa katika UMITASHUMTA.Mimi nmecheza mpira pamoja na golikipa wa zamani wa Yanga marehemu Isumail Suma ngazi ya mkoa Tabora. Inaskitisha kukuta mambo yameharibika kiasi hiki. Kila kiko vululu vululu. Sjui tunaelekea wapi na elimu ya leo,!!
Mkuu baada ya hao walimu kuwa makatili wa kiwango cha kupelekwa mahakani na kupewa adhabu kali wewe bado unawashukuru walimu!!! Hiyo Inaitwa stockholm syndrome..

Unafikiri kwanini mmefaulu wanafunzi watatu tu, kwanini watoto wengine walioamua kukimbia Shule na kuwa wawindaji?..

Je Shule ingeli fahaulisha wanafunzi wengi zaidi kama utawala wa Shule hakuwa na ukatili wa kupitukia??
 
Prishaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Messages
2,228
Points
2,000

Prishaz

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2011
2,228 2,000
Nimesoma sehemu yoote ya viboko ulipofika sehemu ya kufaulu watu watatu pamoja na viboko vyote nineachia hapo hapo... walimu wenu walikua useless kazi yao ilikua kupunguza stess zao za maisha bila kufundisha..

Hivi unaanzaje kuwachapa wanafunzi viboko vyote hivyo halafu mwisho wa siku wafaulu watatu tu??
Useless kabisa
Zamani wanafunzi walikuwa wanafaulu wengi lakini wanachukuliwa wachache kwa ajili ya uhaba wa shule. Shule hazikuwa nyingi
 
Forum statistics

Threads 1,379,104
Members 525,311
Posts 33,735,171
Top