Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,870
- 29,164
Hapana si Iyunga Sekondari niliyosoma mimi baada ya kutoka LA Middle School.Iyunga mkuu!
Iyunga ilikuwa bonge la shuleIyunga mkuu!
Nmesoma iyungaIyunga ilikuwa bonge la shule
Ila ilikuwa haimilikiwi na serikali kabla
Badaye ndy serikali nyerere wakaja itaifisha....
Shule mwanzoni ilikuwa na mpk swimming pool wabongo walipoichkua sehemu hyo wakaigeuza dampo ya kuweka uchafu
Ova
Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!Iyunga ilikuwa bonge la shule
Ila ilikuwa haimilikiwi na serikali kabla
Badaye ndy serikali nyerere wakaja itaifisha....
Shule mwanzoni ilikuwa na mpk swimming pool wabongo walipoichkua sehemu hyo wakaigeuza dampo ya kuweka uchafu
Ova
Labda walikuja kuweka SawaNmesoma iyunga
Na swimming pool haijageuzwa dampo
Naskia Joel bendera aliwahi kuwa mwalimu wa michezo hpoWakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super.
Sijui, mwalimu wa michezo alikuwa Erasto Zambi kaka wa Zambi wa mkuu wa mkoa Mtwara.Naskia Joel bendera aliwahi kuwa mwalimu wa michezo hpo
Ova
Duh....Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
Ndiyo mkuuLabda walikuja kuweka Sawa
Ova
Alikuwa! enzi hizo.NIT ina mkurugenzi au chancellor?.
Mimi nlisoma sangu form 1 miaka 90sNdiyo mkuu
Ila ile swimming pool ilikua haitumiki
Ipo karibia na gymnastic
Shkamoo kakaaMimi nlisoma sangu form 1 miaka 90s
Tulidhuru hpo kimichezo
Ila kuna mzee mmoja alisomaga enzi hzo hpo iyunga ukicheki picha za kitambo kile shule ilikuwa kama iko mbele
Hata kibasila enzi hizo iko chini ya waghoaa ilikuwa nzuri
Ila mzee baba alipozitaifisha tu akashindwa ziendesha
Ova
Shikamoo mkuuMimi nlisoma sangu form 1 miaka 90s
Tulidhuru hpo kimichezo
Ila kuna mzee mmoja alisomaga enzi hzo hpo iyunga ukicheki picha za kitambo kile shule ilikuwa kama iko mbele
Hata kibasila enzi hizo iko chini ya waghoaa ilikuwa nzuri
Ila mzee baba alipozitaifisha tu akashindwa ziendesha
Ova
Nmesoma iyunga
Na swimming pool haijageuzwa dampo
Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
Naskia Joel bendera aliwahi kuwa mwalimu wa michezo hpo
Ova