Shule Dar yatoza ada ya shilingi 60 milioni!

Shule Dar yatoza ada ya shilingi 60 milioni!

Ila Msisahau kulalama na kwanin Range Rover Vogue inauzwa ghali sana compared to Starlet ilihali zote ni kwa ajili ya usafiri!
 
Wazazi si bado wanawapeleka kwenye hizo shule? ?? Waziache

Hizo nguvu watumie kuboresha shule za serikali
 
Shule hizi zina ajenda ya siri,mwenye akili haambiwi tazama.Diagnostic ability kubwa inahitajika kujua ajenda hiyo,ila akili ya kawaida itaona hakuna matata.ni shule nzuri.
Ah! sasa IST mbona inajulikana kitambo sana ... kwanza hata syllabus yake si ya Tanzania ... watoto wa mabalozi na wafanyakazi toka nje ya mipaka yaetu ambao wapo tanzania kikazi ndio wanasoma pale..... idadi kubwa ya wanafunzi ni raia wa kigeni....

mi nadhani ada elekezi iwe kwa shule zinazotumia mitaala yetu tu! .. hizi zinazotumia mitaala ya kimataifa achaneni nazo...
 
Hii co habari km wanapata wanafunzi shida nn?
Ungeandika "Shule Tandale haina choo .....wanafunzi 1000 class 1"
HII NDO HABARI
Km VP nenda kalime viazi
 
sioni tatizo hata wakitoza ada milioni 100 cha muhimu serikali iwabane kwenye kodi halafu hizo pesa waelekeze kuboresha shule za umma ila shule binafsi zikatazwe kutoza ada ya jengo kwani hayo majengo ni mali ya mmiliki kama anataka kuwatoza aingie nao ubia maana shule inabaki kuwa mali yake binafsi
 
umenena vema, na ninadhani wazazi huwapeleka watoto kwa ridhaa yao wenyewe bila kulazimishwa, kila mtu anampeleka mtoto shule inayolingana na uwezo wake, hata mimi ningekua nazo mwanangu angesoma hukohuko na watoto wa mabalozi

hii serikali ijifikirie mara mbili kabla ya kuamua maamuzi yake ya kijinga
umejuaje yatakuwa ni maamzi ya kijinga? wewe nimekuambia nenda tu kajiuze. maana hilo ndo utakaloliweza na akili zako kama mavi.
 
ni makosa kwa serikali kulazimisha shule binafsi zishushe ada badala ya kusimamia elimu bora shule za umma....
 
Maana ya neno "ndalichako" ni nini kwa wenye wenye lugha yao?
 
Mil 60 si unajenga nyumba kabisa. Watu wanachezea hela aisee
Vidole havilingani

Badala ya kuhangaika na hao waliokwisha timiza ndoto zao, tuhangaikie kuboresha elimu ya public ili watu wa kawaida wapate elimu bora zaidi

Kukomaa na wenye nacho ni sawa na kutaka wote tuwe masikini.... achana nao walio-make, koma na tulio level moja
 
Sisi tupambane na majizi, tuzibe mianya yoote ya upigaji. Kama kuna mzawa alikuwa anampeleka mtoto wake huko kwa hela za dili atamuondoa mwenyewe kwa kukosa fedha lakini kama kuna mtu ana hela zake halali na anataka mwanaye apate elimu hiyo na awe huru kufanya hivyo.
 
Wamesahau international school of moshi (ism) moshi na arusha campus too much expensive
 
kweli kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake. Lakini kama wazazi hawajalalamika wanaoloipa ada hizo basi tuwaacche waendelee na utaratibu wake.
 
umejuaje yatakuwa ni maamzi ya kijinga? wewe nimekuambia nenda tu kajiuze. maana hilo ndo utakaloliweza na akili zako kama mavi.

maneno yako tu yananidhihirishia upeo wako, andika hoja sio matusi, kama wewe profession yako ni kujiuza usidhani kila mtu anafanya hivyo
anyways, pole kwa ugumu wa maisha, hasira zako usizilete hapa jukwaani, humu watu wanabishan kwa hoja tu, jiongeze ndugu
 
Mbona mmeng'ang'ania ada za shule tu,tuje kwenye maisha halisi,wakati wewe unakula dona na dagaa chungu,prof.Anna Tibaijuka wa Tegeta Escrow anatumia sh.10ml.kwa kununulia mboga kila siku.

Acheni kupiga kelele.
 
maneno yako tu yananidhihirishia upeo wako, andika hoja sio matusi, kama wewe profession yako ni kujiuza usidhani kila mtu anafanya hivyo
anyways, pole kwa ugumu wa maisha, hasira zako usizilete hapa jukwaani, humu watu wanabishan kwa hoja tu, jiongeze ndugu
sijakutukana ila nimekupa sifa zako unazostahiki. kaendelee kujiuza.
 
me nadhani serikali iboleshe shule za kwanza mambo mengine baadae
 
Hivi wanaosoma huku na wenyewe wanapanga foleni ya mikopo HELSB?
 
Back
Top Bottom