huzijui? Taboraboys,kibaha,mzumbe,ilboru na kisimirikwani hizo special xculs ndo zipi?
ktk hge naomba uiondoe PuguKwa kombi,cba-kibaha,galanos.pcb-tbrboys,kbh,mzumbe,ilboru,kisimiri.eca-kibaha,umbwe.hge-minaki,umbwe,pugu,tosa,mirambo!
Wanajamvi naomba mnisaidie hivi katika shule za serikali shule gani ni the best katika performance?
oyo vodka nilikosea hapo hge kweli haipo pugu!ktk hge naomba uiondoe Pugu
Wai...apo nakataa...nilisoma Old moshi sec tukapiga one nzuri tu...a level tulipiga same sec na one nzuri zilitoka..mi nadhani if ol factors remain the sem..shule nzuri ni mwanafunzi..na mzazi/mlezi (thsnk God for my parents)