Shule bora ya serikali

Binafsi nimesoma shule mbili za Special, moja O-Level na nyingine A-Level...

Analysis yangu ni hii...
Mzumbe na Ilboru wapo vizuri sana A-Level na O-Level
Kibaha na Tabora Boys wapo vizuri sana A-Level

Ila ishu ni kwenda hizo shule, inabidi uwe umepasua kidogo sio masomo ya combination tu, sometimes wakuu wa shule wakati wa selection huwa wanacheck hadi masomo mengine.
 
the overall best school in TANZANIA is ILBORU SEC. SCHOOL only followed by other SPECIAL schools
ivi hizo mnaziita special skuls bado zipo au mnatania watu humu!! najua zilikuwepo enzi za mwalim,siku kama hujitum unapiga zero tu hata kama upo kwenye hivyo vishule unaviita special...
 
ivi hizo mnaziita special skuls bado zipo au mnatania watu humu!! najua zilikuwepo enzi za mwalim,siku kama hujitum unapiga zero tu hata kama upo kwenye hivyo vishule unaviita special...

hahahah vp kaka umesoma shule gani?
 
LORDVILLE mbona povu jingi sana? Una chuki gani na special xul? Au Mwenzetu umesoma shule ya secondary janjajanja? Kubali au kataa special xuls rock n' still exist,nimesoma shule ya kawaida olevo nikalamba 8,nkaenda ilboru nkalamba 3 hapo nikaingia udsm nkala gpa4.5 pale! Usikonde lord hata JanjaJanja nayo ni shule komaa mwana unaweza pata hata div 4 ya 33!
 
Last edited by a moderator:
O'level-Kisimiri,Kibaha,Tabora boys,Mbeya day.
A'Level-Kibaha,Umbwe,Ilboru,Mzumbe
 
LORDVILLE mbona povu jingi sana? Una chuki gani na special xul? Au Mwenzetu umesoma shule ya secondary janjajanja? Kubali au kataa special xuls rock n' still exist,nimesoma shule ya kawaida olevo nikalamba 8,nkaenda ilboru nkalamba 3 hapo nikaingia udsm nkala gpa4.5 pale! Usikonde lord hata JanjaJanja nayo ni shule komaa mwana unaweza pata hata div 4 ya 33!
hahahahaah unajua ni nin mkuu ulichosema ni kwel..nakumbuka nlipokua a-levo hao hao unaosema wanatoka special nlikua nawafundisha namba kama kawaida upo!!! sasa unavyosema ni special cjui ni kwa misingi ipi??? anyway si kwamba hazipo wenda zipo ila ni majina tu ndo yamebak,,na sina kinyongo na shule ila nachukia watu(ambao wamesoma huko) wanajiskia sana(baadhi yao) na kudharau wengine akat ni weupe tu!!!!
 
mbna mnasahau kama MZUMBE ilikmbza tz advance kwa kua no 1 kwa miaka ka mi5 iv mfululzo apo nyuma?? na sasa bado inaendelea kutesa. Mzumbe z da best, tabora nxt wengne wanajkongoja kwa mbalii. over
 
ivi hizo mnaziita special skuls bado zipo au mnatania watu humu!! najua zilikuwepo enzi za mwalim,siku kama hujitum unapiga zero tu hata kama upo kwenye hivyo vishule unaviita special...

Kama umesomea shule za kata pole sana
 
Back
Top Bottom