1.pcm-ilboru,kibaha,mzumbe,tabora boys
2.pcb-ilboru,mzumbe,tb,kibaha
3.pgm-sengerema sec
4.cba-kibaha.
5.cbg-hakuna shule maalumu.
6.cbn-jangwani,machame.
7.egm-pugu,mara sec,minaki,galanos.
8.hge-minaki,mara,galanos,umbwe.
9.eca-kibaha,umbwe,arusha sec.
10.hgl-ilboru,
mzumbe,tb.
11.hgk-hakuna shule maalumu.
12.hkl-kisimiri
Haya shule bora za private hizi hapa.
1. St. Francis
2. Marian
3. St. Mary Goret
4. St. Joseph millenium
5. Kifungilo
6. St. mary's mazinde juu
7. Kanossa girls
8. Loyola
9. Anwaritte
10. Kibosho
11. Visitation
12. Tengeru boys( part ya marian)
13.
endeleza.....
n:b hizi sio seminary.
but st francis na marian nnavyoelewa ni skuli za wakatoliki
Wanajamvi naomba mnisaidie hivi katika shule za serikali shule gani ni the best katika performance?
Mkuu hii shule ipo upande gani hapa Tanzania!kisimiri
Mkuu kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake,lakini haya ya kwako ni kituko cha mwaka!shule zote za kata! au majani ya chai sec school..kwa mtazamo wangu mm!
Teh teh teh!kichekesho!Only Azania!
Mkuu kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake,lakini haya ya kwako ni kituko cha mwaka!
Shule Bora ni:
1.Ilboru
2.Mzumbe
3.Tabora Boys
4.Kibaha
Baaaaaaaaaasiiii.
Kama umesomea shule za kata pole sana