Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,824
- 47,427
Wengi wanasomeshwa na wazazi wakiwa wapo vizuri inakuja kutokea mzazi anafariki harafu ajatengenezewa njia ndio inatokea hivyo ila wengi wa sasa hivi watoto wao wanawaanzishia miradi yao..Kuna mengine ni majinga,kuna moja aliomba ajira ya serikali badaye akapata akaja kuambia mshahara ni 1M akafanya miezi 2 ndio akaacha.
Mkuu mimi nimewahi kufanya kazi na International school karibu zote ikiwemo hiyo St Constantine.. nazijua vizuri sana. Kwa hapa Tanzania ni IST, Braeburn na DIA ndo wanaongoza kwa bei ghali.Vip mbona povu kubwa shule zina web zao mtandaoni ukiweza soma utapata taarifa zao mbona vitu ni rahisi shida nini..
Sidhani kama huyu Mzee ana ubaya na hizi International schools. Shida yake ni hizi English Medium dizaini ya Atlas na Tusiime.
Nimekwambia soma fees structure yao ipo mtandaoni mkuu mbona rahisi ukisoma njoo na majibu hapa kufanya kazi kunahusiana nini na hizi mambo za fees ambazo wewe hujui yaani unashangaa kuambiwa 74m wanalipa hapo Moshi ni 28,000 hizo watu wanalipa...Mkuu mimi nimewahi kufanya kazi na International school karibu zote ikiwemo hiyo St Constantine.. nazijua vizuri sana. Kwa hapa Tanzania ni IST, Braeburn na DIA ndo wanaongoza kwa bei ghali.
Tanzania hii hakuna shule inaizidi IST labda hao jamaa zako wanaongeza chumvi lakini ni kweli arusha kuna shule nyingi za international ukiachana na dar es salaamArusha na Moshi wana shule zina gharama kubwa sana nina uhakika pana jamaa nawafahamu wanasomesha watoto wao huko..
Sahihi kabisa shule ya pili kwa gharama tanzania ni hiyo DIA kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuniMkuu mimi nimewahi kufanya kazi na International school karibu zote ikiwemo hiyo St Constantine.. nazijua vizuri sana. Kwa hapa Tanzania ni IST, Braeburn na DIA ndo wanaongoza kwa bei ghali.
Hata akina Musk hela wanazo ila ada za namna hii watakuna vichwa kwanza kabla ya kuamua kulipaKwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
Sawa umeshinda.Nimekwambia soma fees structure yao ipo mtandaoni mkuu mbona rahisi ukisoma njoo na majibu hapa kufanya kazi kunahusiana nini na hizi mambo za fees ambazo wewe hujui yaani unashangaa kuambiwa 74m wanalipa hapo Moshi ni 28,000 hizo watu wanalipa...
Wakikujibu nitag piaIpi nzuri kati ya hizo nipeleke vijana wangu 😁
Ulishapata ajira?Ipi nzuri kati ya hizo nipeleke vijana wangu 😁
Mnunulie mwanao ufagio mpya na usisahau akanyoe nywele pale kwa Rama kwa bei ya jero na bado unamuomba kwa mia tatuIpi nzuri kati ya hizo nipeleke vijana wangu 😁
Sio swala la kushindana mimi nimetoa taarifa tu nayoijua wewe ndio umeniambia mimi ni muongo nikakwambia angalia site yao je ukiambiwa heka moja viwanja vya mikahawani,Kimvulini ni Tsh 300m si utarusha ngumi na vinagombaniwa jamaa wakivikata...kiwanja kinauzwa kwa dollar yaani Sq meter moja inauzwa kwa usd harafu inaleta shilingi za Tanzania zaidi ya 280m mpaka 300m kutokana na exchange rate ya siku hiyo.Sawa umeshinda.
Mkuu shule zipo ni swala la kutokua na taarifa tu hata mimi nilijua hivyo sina ujamaa nao ila najua wapo ghari hiyo shule naipita kama vile wanauza matairi ya trekta ila wapo wazala wana watoto hapo pia site yao ipo wazi soma mazee sio unajibu wakati vitu vipo wazi mtandaoni kwa dunia ya sasa hivi..Tanzania hii hakuna shule inaizidi IST labda hao jamaa zako wanaongeza chumvi lakini ni kweli arusha kuna shule nyingi za international ukiachana na dar es salaam
Kwa hizi ada, IST inakimbiza. Tupe na wewe data zakoMkuu shule zipo ni swala la kutokua na taarifa tu hata mimi nilijua hivyo sina ujamaa nao ila najua wapo ghari hiyo shule naipita kama vile wanauza matairi ya trekta ila wapo wazala wana watoto hapo pia site yao ipo wazi soma mazee sio unajibu wakati vitu vipo wazi mtandaoni kwa dunia ya sasa hivi..
Wametofautiana boarding fees IST wapo juu si ufungue kama ulivyofungua hapo Mkuu..Kwa hizi ada, IST inakimbiza. Tupe na wewe data zako
Kwani St. Costantine walikataliwa kuweka boarding kubwa? Alafu unaniambia nifungue, nifungue wapi?Wametofautiana boarding fees IST wapo juu si ufungue kama ulivyofungua hapo Mkuu..
hapana ndugu, usitudharau hivyo maskini tangu lini graduate wa international school akatagemea kuajiriwaWatakuja maskini watakaosema "mtu unalipa mamilioni halafu akimaliza hakuna ajira"...
Mkuu mbona unaleta povu la zamani lile la kugombania Scania Mwanamboka ikipita 114 nasema yangu hapo sina mtoto sina mpunga wa kulipia hayo mamilioni mazee mimi na mapovu kwa vitu visivyonihusu nishatambuka hilo tuta kitambo sana..Kwani St. Costantine walikataliwa kuweka boarding kubwa? Alafu unaniambia nifungue, nifungue wapi?
Kwanini wewe usilete hapa uthibitisho tukamaliza ubishi