Kwa hiyo huyo muitimu anaanza kusoma miaka mingapi mpaka kumaliza?Inawezekana huwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa,Hizi hapa shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake;
10. American international school,Zambia (annual fee 22,070$)
9.Hilton college,South Africa (Annual fee 22,596$)
8.International Community school of Abidjan,Ivory Coast (Annual fee 23,400$)
7.Lincoln community school,Ghana (Annual fee 26,276$)
6.Cairo American college,Egypt (Annual fee 26,500$)
5.Kampala International school,Uganda ( Annual fee 26,918$)
4.Al farouk language school,Egypt (Annual fee 28,783$)
3.International school of kenya,Kenya (Annual fee 31,142$)
2.American international school,Nigeria (Annual fee
31,228$)
1.International school of Tanganyika,Tanzania (Annual fee 32,000$)
Naamini anaesoma hizo shule hategemei ajiraWatakuja maskini watakaosema "mtu unalipa mamilioni halafu akimaliza hakuna ajira"...
Waliosoma IST hawategemei ajira za kugombaniaWatakuja maskini watakaosema "mtu unalipa mamilioni halafu akimaliza hakuna ajira"...
Peleka vijana MADRASAIpi nzuri kati ya hizo nipeleke vijana wangu 😁
Mwongo mkubwa wewe.Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
Ko hizi takwimu ni zauongo sio?Kwa Tanzania ni St Constantine ya Arusha wao grade 9-10 ni usd 34,300 usd kindergarten mpaka grade 5 fees ni tofauti na grade 6-8.. Wazazi wanaachaa deposit wakiandikishwa kwa boarding ni 300usd na kutwa ni 150usd shule wanaopeleka watoto wanataka bank statement kama wanaomba VISA vile wasije wakamchukua mtoto kumbe mzazi mchimba chumvi kaokota za mawe siku mbili tu nae anataka nafasi ya mtoto na shule ingine ipo Moshi wao fees miaka minne iliyopita ilikua karibu 74m kwa kutwa..
Vip mbona povu kubwa shule zina web zao mtandaoni ukiweza soma utapata taarifa zao mbona vitu ni rahisi shida nini..Mwongo mkubwa wewe.
Kuna mengine ni majinga,kuna moja aliomba ajira ya serikali badaye akapata akaja kuambia mshahara ni 1M akafanya miezi 2 ndio akaacha.Naamini anaesoma hizo shule hategemei ajira
Arusha na Moshi wana shule zina gharama kubwa sana nina uhakika pana jamaa nawafahamu wanasomesha watoto wao huko..Ko hizi takwimu ni zauongo sio?