shukrani

Duh sikukulijua hili kumbe wewe pale premium member! sasa watauza kwa bei hizo? 1400-1300?

Hizo ndio bei zenyewe mkuu. Ila kwa mtazamo wangu binafsi, sidhani kama tofauti ya bei za bia ambayo haizidi shilingi 500 inaweza kuwa kikwazo ya mahali tunapotaka kukutana!
 
kwani wen ur a memba smwea lazima ufanye kinachohitajika?I dnt drink dear,mm anglikan
Mwanglikani unakuwa mwanachama wa bar? Ntakushtaki kwa askofu wako, hebu nitumie namba zake! I will join you guys! Ila siwezi toa pledge kwa sasa. Ijumaa kamshahara katakuwa hakajaingia.
 
unajua ni lazima muwe fair and balanced na maeneo ya kukutana!
kwa mfano mimi ninaishi KIJIWE-SAMLI BOMBOM!...natumia daladala!ukiniweka salenda ni kunionea tu

Najua unatania, ila kama tukisema kila mtu atake tufanyie kwenye grosari ya karibu na anakoishi basi haitawezekana! Ndio maana tukapendekeza kati kati ya mji ambako kila mtu anaweza kufika!
 
Hizo ndio bei zenyewe mkuu. Ila kwa mtazamo wangu binafsi, sidhani kama tofauti ya bei za bia ambayo haizidi shilingi 500 inaweza kuwa kikwazo ya mahali tunapotaka kukutana!

To be sincere, kwangu mimi ni kikwazo. There is always somewhere else!
 
Hizo ndio bei zenyewe mkuu. Ila kwa mtazamo wangu binafsi, sidhani kama tofauti ya bei za bia ambayo haizidi shilingi 500 inaweza kuwa kikwazo ya mahali tunapotaka kukutana!

Unajua mkuu hapo beer ni 2000 na kuendelea tulikaa hapo na Geoff kama nyie premium member wanaweza kufanya 1500 basi bei ya kawaida. Unajua kwa mnywaji sh.100 inamuhamisha bar na kuhamia bar ingine. Kwenye vinywaji sh.100/= kubwa sana.
 
Hapo maumivu mpwa kuanzia 2000-----na kuendelea muulize Geoff ukiwa na 10,000 unakunywa 5
hehehehe!
tuliwahi kuhama baa kwa ongezeko la sh 50 kwenye kinywaji!....
ukiniuzia bia sh 2000 naweza kukupeleka mahakamani:D
 
Najua unatania, ila kama tukisema kila mtu atake tufanyie kwenye grosari ya karibu na anakoishi basi haitawezekana! Ndio maana tukapendekeza kati kati ya mji ambako kila mtu anaweza kufika!
vere siriaz
hebu kajibu swali la msingi kwenye sred ya ndoa kule
 
ur toking about mwaka huu?tunazungumzia about kila mwezi kikao tunakutana na kuna michango ili inapotokea tatizo la membaz yyte kati ya wale tuliochanga na wengine watakao jiunga tusaidiane,iwe ni harusi,msiba etc

wow yani pearl unanishutua kumbe kuna mambo mauri namna hyo ndomana tunauliza maazimio ya kikao jamni
 
Hehehe! Hivi unaniona siko siriaz siyo? Ntakupiga bao la kukustukiza utashangaa na roho yako. Vipi wahudumu wa hapo wanatoa ushirikiano mzuri?

Ushikiano upo wa kutosha, ila hakuna wahdumu wa kike! Wapo wa kiume peke yao! :) :)....Maana najua unachomaanisha kwenye hilo swali! :)
 
Hapo maumivu mpwa kuanzia 2000-----na kuendelea muulize Geoff ukiwa na 10,000 unakunywa 5

Dah! elfu kumi unapata tano? Wakati kuna sehemu alfu kumi unakamata saba na keep chenji ya kina ELIZA! No way man!
 
hehehehe!
tuliwahi kuhama baa kwa ongezeko la sh 50 kwenye kinywaji!....
ukiniuzia bia sh 2000 naweza kukupeleka mahakamani:D

Hehehehe si ndo hapo mpwa.
Dah jamaa anasema ongezeko la 500 si kitu mmmh maumivu.
 
Dah! elfu kumi unapata tano? Wakati kuna sehemu alfu kumi unakamata saba na keep chenji ya kina ELIZA! No way man!
hehehe!
hapo ndipo pabaya mazee!
ki-bongo bongo buku teni unakamata zako saba....!chenji kama kawa ELIZA ananeemeka
 
Ushikiano upo wa kutosha, ila hakuna wahdumu wa kike! Wapo wa kiume peke yao! :) :)....Maana najua unachomaanisha kwenye hilo swali! :)

Labda kama mtaniruhusu nije na mhudumu wa kujitegemea. Mi nikifunguliwa bia na mwanaume napata kichefuchefu!
 
Hehehehe si ndo hapo mpwa.
Dah jamaa anasema ongezeko la 500 si kitu mmmh maumivu.

Kiongozi itabidi tuongee vizuri na huyu kijana. Inawezekana ana uhusiano na Chenge! 500 si kitu? Si ambao bia kumi ndo tunaanza kukata kiu itakuwaje hapo?
 
Kiongozi itabidi tuongee vizuri na huyu kijana. Inawezekana ana uhusiano na Chenge! 500 si kitu? Si ambao bia kumi ndo tunaanza kukata kiu itakuwaje hapo?
HAPO tunazungumzia losi ya shilingi elfu sita=bia tano na soda moja ya ELIZA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom