shukrani

HELA au?
Acha masihara wewe!
Linapokuja swala la hela umesahau?
lakini ni wajibu na swala la msingi KU-DISKLOZ financial informations.mbona kule kwa mwanakijiji walitoa taarifa ya fedha zilizokusanywa?
 
Ulipitwa sana kidogo matumizi yawe zaidi ya donee....

:) :) :) Hujatulia, kuna aina moja ya kinywaji iliisha pale kwenye ile Clubi! Bila hivyo nahisi kweli matumizi yangeweza kuzidi doneee!!! :)
 
Ni lazima tujue pesa zilizokusanywa,pledgez za kila mmoja na ahadi

KWA NIA NJEMA TU!

TAFADHALINI PEARL NA BUJIBUJI

Taarifa ya fedha itatolewa mara tutakokamirisha kukusanya michango toka kwa wale ambao wali - pledge kwenye simu ila bado hatujakwenda kuzikusanya.

Nafasi ya kutoa pledge bado iko wazi kwa mdau yeyote anayejisikia kuchangia. Kwa kifupi kikao kilikuwa kizuri, na wadau walifika kikaoni walichangia wastani wa shilingi 25,000 kila mmoja (mbali na gharama za kikao chenyewe :))

Mpango uliopo ni kukusanya pledges ndani ya wiki hii na fedha tutaziwakisha kwa TPN, au mwakilishi mwingine wa Jamiiforums.com siku ya Ijumaa.
Maswali zaidi yanakaribishwa kuhusu suala hili.
 
tunaomba minutes,na taarifa zilizokuwa katika format nzuri na inayoeleweka FOR OUR RECORDS!

tunaomba attendace pia
 
tunaomba minutes,na taarifa zilizokuwa katika format nzuri na inayoeleweka FOR OUR RECORDS!

tunaomba attendace pia

Ahaa! Ndo mana nilikuuliza taarifa ya kikao inatakiwa ikave vitu gani?
 
pesa zilizopatkana cash ni laki moja,makofi kwetu tafadhali,watu tuliokutana ni 6,ww ulisema utatoa sh ngapi?kuna predg ya elfu hamsini na elfu 15,nimetoka kuongea na mwanakijiji just now kasema ananitumia no ya huyo mwakilishi huku ili niweze kumpa so far tunaomba muwakilishe hizo pesa mlio predg ili nikabidi tafadhali,una lingine?
....tunaomba taarifa za kikao
 
jamani pearl na wengine mliofanikisha kikao hongereni sana najua aikuwa kazi ndogo na tunaomba mwendelee na moyo huo najua ipo siku mtatukutanisha sisi ambao atujawai kukutana na wana jamiiforum
 
unaomba vitu vingi sana wakati mmoja while haukoja,ss ni binadam tunaweza kukosea as well.
tunaomba minutes,na taarifa zilizokuwa katika format nzuri na inayoeleweka FOR OUR RECORDS!

tunaomba attendace pia
 
thx dear najua ni nafasi mlikosa but next time ukiskia kukutana tafadhali fika maana u neva knw unakosa mambo mazuri sanaaaaaaaa
jamani pearl na wengine mliofanikisha kikao hongereni sana najua aikuwa kazi ndogo na tunaomba mwendelee na moyo huo najua ipo siku mtatukutanisha sisi ambao atujawai kukutana na wana jamiiforum
 
usichoke jamani tupeni tu hayo maazimio na mikakati ili na wengine ambao atukufika tuweze kutoa michango ya mawazo pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom