Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
Tunashukuru sana kwa mchango wako mkubwa wa hali na mali katika kufanikisha mazishi ya mpendwa wetu CCM yaliyofanyika Arusha mjini tarehe 14 Julai 2013, siku ya jumapili. Aidha shukrani za pekee ziwaendee MWIGULU NCHEMBA, NAPE MNAUYE, MAGESA MULONGO, LIBERATUS SABAS na PAUL CHAGONJA kwa juhudi zao za hali na mali na bila kuchoka kutaka kuokoa roho ya mpendwa wetu CCM bila mafanikio. BWANA AMETOA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. Sisi tulimpenda lakini bwana alimpenda zaidi. APUMZIKE KWA AMANI, AMINA.