Shukrani zangu za dhati kwa wana MMU

Shukrani zangu za dhati kwa wana MMU

hongera sana ila usijipe nafasui ya kulia ukiona hakufai tupa kule
 
Vidume vitakugegeda tu vile kona....
usiache kuleta mrejesho "sina hamu na wanaume wa hapa, naomba ushauri"
 
Hahahaaaa. umenichekesha sana aisee... Nasubiria iwe re-advertised.
hahaha sahau hilo la kuwa re-advertised watu wanachangamkia fursa huko(na mabazazi wakiwemo) wewe ng`aa sharubu tu. hapa
 
Habari za mda huu,

Jana nilikuja humu na kuanzisha uzi uliohusu "https://www.jamiiforums.com/love-connect/611879-natafuta-rafiki-wa-kiume-4.html" na kwa kweli nilipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa wana MMU. Nilipata PM za kutosha kutoka kwa watu tofauti tofauti na nilifurahi sana kwa kweli.

Nimeona leo nije nitoe shukrani zangu za dhati kwenu wote mlionishauri kupitia comments na pia kwa wale mlionishauri kupitia PM na pia wale mlioonesha nia ya kuanzisha urafiki nami.

Naendelea kujibu wale wote ambao mlinitafuta na pia mawasiliano ndo yameanza, hivyo tuendelee kuvumiliana kama bado sijakujibu ila ntajitahidi kujibu kwa wote.

Naamini kati yenu nitampata niliyekuwa nikimtafuta na moyo wangu kufurahia.

Niwatakie kazi njema na siku njema pia.

hongera zako mkuu kwa kuongeza pm zako..
 
Na wewe pia siku njema na kila la kheri katika usakaji wako upate anaefaa
 
Acha tu sharubu zing'ae mkuu. Race ambayo huwa na uhakika wa kushinda ni KULA MSOSI tu kaka. Hapo mtu hanitoi. Uku kwingine nakubali vipigo kama kawaida tu. Sharubu zinaendelea kushuka tu ka zako... inaelekea we ndio master wa kung'aa sharubu yakhee!!
hahaha sahau hilo la kuwa re-advertised watu wanachangamkia fursa huko(na mabazazi wakiwemo) wewe ng`aa sharubu tu. hapa
 
Habari za mda huu,

Jana nilikuja humu na kuanzisha uzi uliohusu "https://www.jamiiforums.com/love-connect/611879-natafuta-rafiki-wa-kiume-4.html" na kwa kweli nilipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa wana MMU. Nilipata PM za kutosha kutoka kwa watu tofauti tofauti na nilifurahi sana kwa kweli.

Nimeona leo nije nitoe shukrani zangu za dhati kwenu wote mlionishauri kupitia comments na pia kwa wale mlionishauri kupitia PM na pia wale mlioonesha nia ya kuanzisha urafiki nami.

Naendelea kujibu wale wote ambao mlinitafuta na pia mawasiliano ndo yameanza, hivyo tuendelee kuvumiliana kama bado sijakujibu ila ntajitahidi kujibu kwa wote.

Naamini kati yenu nitampata niliyekuwa nikimtafuta na moyo wangu kufurahia.

Niwatakie kazi njema na siku njema pia.
Mbona post haijafika kwa mwenyewe? Any way!
 
Back
Top Bottom