Shukrani zangu za dhati kwa wana MMU

Shukrani zangu za dhati kwa wana MMU

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
423
Reaction score
451
Habari za mda huu,

Jana nilikuja humu na kuanzisha uzi uliohusu "https://www.jamiiforums.com/love-connect/611879-natafuta-rafiki-wa-kiume-4.html" na kwa kweli nilipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa wana MMU. Nilipata PM za kutosha kutoka kwa watu tofauti tofauti na nilifurahi sana kwa kweli.

Nimeona leo nije nitoe shukrani zangu za dhati kwenu wote mlionishauri kupitia comments na pia kwa wale mlionishauri kupitia PM na pia wale mlioonesha nia ya kuanzisha urafiki nami.

Naendelea kujibu wale wote ambao mlinitafuta na pia mawasiliano ndo yameanza, hivyo tuendelee kuvumiliana kama bado sijakujibu ila ntajitahidi kujibu kwa wote.

Naamini kati yenu nitampata niliyekuwa nikimtafuta na moyo wangu kufurahia.

Niwatakie kazi njema na siku njema pia.
 
Kulaleki... Huu uzi ulinipita pitaje lakini?

Kwani bado kuna nafasi bidada?

Hahahahahaha, unaweza tuma PM mana bado naendelea kuwasiliana na watu.

Karibu.

Naomba rasimu yako tafadhali!
Huko PM natakiwa nitume namba yangu ya simu au nikuombe wewe namba ya simu then muda wa punguzo la kifurushi ukifika ndiyo nakupigia au?
Pls naomba muongozo
 
Cv yako uliattach ili watu wachangamkie tender au wao tu ndo wanaanza na cv maana ni kazi kila mmoja kumuuliza cv yake na pm utakazokuwa umezipata! Kila la kheri km unamaanisha umpate mstaarabu!!
 
Back
Top Bottom