Shukrani zangu za dhati kwa wana MMU

Shukrani zangu za dhati kwa wana MMU

Aisee... kwa hiyo hapo kuna kushinda, kushindwa na kutoka suluhu!!!! akiyanani nisepe tu mie.
Position ikiwa re-advertised ntarudi.

Hahahahahaha, unaweza tuma PM mana bado naendelea kuwasiliana na watu.

Karibu.
 
Aisee... kwa hiyo hapo kuna kushinda, kushindwa na kutoka suluhu!!!! akiyanani nisepe tu mie.
Position ikiwa re-advertised ntarudi.

Sie mashindano ndugu, mie nawasiliana na watu but kumbuka si mtu mmoja aliyetuma PM, kama unaona inakubana poa karibu siku nyingine.
 
mh taratibu bi dada usije kuangukia pua 🙂 watu waongo sana humu!!!!utalizwa kilio cha mbuzi ohoooo

49 bana usimfundishe!Nadhani ndugu zangu mabazazi siku nyingi wametuma maombi ahahahaha!
Too late kwangu nahisi
 
Kila la kheri pia kuwa makin sana usije ibukia koroma

Makosa kwanza then ndiyo atajifunza!Nasubiri anipe mwongozo nitupiemo ka PM kwangu!

Pls jamani msimvute masikio mkamueleza tabia zetu akakimbia lol
 
My point was.. kwa kuwa tupo wengi.. huenda nikawashinda (nkakubaliwa) huenda nkakosa (kushindwa) etc.
Doesnt matter anyway. Wishing you goodluck. namalizia zaha za mwisho mwisho za usingle,, nitakuja.
Sie mashindano ndugu, mie nawasiliana na watu but kumbuka si mtu mmoja aliyetuma PM, kama unaona inakubana poa karibu siku nyingine.
 
we nahisi ashakudiskolifai
Makosa kwanza then ndiyo atajifunza!Nasubiri anipe mwongozo nitupiemo ka PM kwangu!

Pls jamani msimvute masikio mkamueleza tabia zetu akakimbia lol
 
Kila la kheri mkuu Mungu akusaidie kupata unaemkusudia. Be careful and take time to know them.
 
Makosa kwanza then ndiyo atajifunza!Nasubiri anipe mwongozo nitupiemo ka PM kwangu!

Pls jamani msimvute masikio mkamueleza tabia zetu akakimbia lol

sasa atajuaje tabia bila kujuzwa tena tabia znatakiwa zielezwe kiufundi had aingie king
 
ngoja TEAMbazazi waje hapa
maana wao ni spesheli na nguli
wa kushughulikia watu kama nyie
kuwa makini bidada usije lia baadaye
wengine wanawaalika hadi home kwao
kisha kuwapa mavitz angalia usijesema
hatukukwambia , kuna verossa humu haya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom