"Nashukuru sana kwa wale wote ambao walifanyia kazi Tangazo ambalo nililitoa hapa miezi michache ya nyuma,kwani watu mbalimbali wamekuwa wakipiga simu na kuulizia zaidi na wengine wamefika kabisa katika ofisi zetu na kuhudumiwa vizuri!....
Ninawashukuru sana kwa kuwa tumeaminiana bila kuonana na wengine wametumia vocha zao jambo ambalo limenionesha kujali na wengine pia wametumia vyombo vyao binafsi vya usafiri kufika ofisini kwetu na kuhakikisha kuwa hakuna uongo au ulaghai wa aina yeyote na mpaka sasa tunaendelea kupata watu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali!jamani...
leo nimekuja kuwashukuru na kufanyia kazi Tangazo langu,naomba kuwahakikishia tena HUTAJUTA KUNUNUA VIFAA VYA UJENZI OFISINI KWETU!
kuanzia bati aina zote,mbao aina zote,misumari,na kila kitu kwa bei ya halali bila kuwepo udalali, uliza MAMA LEAH ni mhusika mkuu na maharufu sana ambaye atahakikisha unapata kile ambacho ulikitaka!ofisi zetu zipo BUGURUNI CHAMA.kwa wale ambao hawana namba zetu,hizi hapa na pia maelekezo zaidi"
1.0764600238
2.0715292319
3.0753084807
email
leahmbeke@gmail.com
ASANTENI SANA NA EASTER NJEMA.