Shukrani sana wana JF

Naskitika Vin , sikubahatika kukutana na uzi uusemao, aidha nitumie fursa hii kupenyeza Pole zangu, kwa hilo lililokwishapita.
 
Kaka mkubwa Vin Diesel karibu sana mkuu
Mkeo Mamndenyi nilikuwa nae kijijini nilikuwa nampooza machungu ya kuachwa na kutimuliwa
karibu sana mkuu umepitwa na mengi sana
 
Last edited by a moderator:
Naskitika Vin , sikubahatika kukutana na uzi uusemao, aidha nitumie fursa hii kupenyeza Pole zangu, kwa hilo lililokwishapita.

Ubarikiwe sana Judgement kwa pole zako.....nashukuru sana yameisha salama.
 
Last edited by a moderator:
Kaka mkubwa Vin Diesel karibu sana mkuu
Mkeo Mamndenyi nilikuwa nae kijijini nilikuwa nampooza machungu ya kuachwa na kutimuliwa
karibu sana mkuu umepitwa na mengi sana

mkuu Mr Rocky.....nashukuru sana kwa ukaribisho wako...nadhani uendelee tu kunishikia huyo raia until further notice.....
CC KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…