Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
- Thread starter
-
- #181
sredi motomoto!!!
Vin Diesel...........Mie hapa nimeshafunga vioo, sisikii wanayosema hata wakiwa na nini sijui!
Nishapenda! :mwaaah:
Thank you Mamndenyi......
mkuu pole sana wote ndio mapito yetu hayo hatuna pa kukwepea,
karibu jamvini kuna wadada walikuwa wanakuulizia ngoja wanakuja
Nashukuru sana mkuu.....hao wadada sijawaona bado
sibira yavuta heri si unajua tena siku ya leo bampa 2 bampa wamebanwa
[/QUOTE]'........Breakthroughs.......'
QUOTE=Vin Diesel;5693340]Asienitafuta leo....kesho asinitafute
My Bro sikuiona hii Im very sorry for this my dear brother
No worries sisy....yameisha na maisha yanaendelea...
kesho naenda yaeda chini....kuna maagizo yoyote kwa wazee?
Asienitafuta leo....kesho asinitafute
hhahahaha hasira za mkizi..... mi nasubiri nione kama itawezekana mbwa kuwa mjanja mbele ya chatu