Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
- Thread starter
- #21
Samahani mkuu, nilikuwa natoa shukrani za dhati kabisa kwa wadau walioniombea ili nifanikishe!mkuu nimekupa bure na wewe una mtangaza tena
Samahani mkuu, nilikuwa natoa shukrani za dhati kabisa kwa wadau walioniombea ili nifanikishe!mkuu nimekupa bure na wewe una mtangaza tena
Hapo akili zote zinakimbilia chiniNyg mbaya
Ha ha ha ha! Kwa nini Wa hivi!?Na mimi ntafutie wa hivi nashida sana na house girl
Ha ja ja ja ja, vibaya hvo!Hapo akili zote zinakimbilia chini
Mkuu raha ya house girl wa hivi utakua unawahi kufika nyumbani ila unachelewa kulalaHa ha ha ha! Kwa nini Wa hivi!?