Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Asanteni sana wadau kwa maombi yenu, yule Hausi geri kafika leo na kesho ataanza kazi
Ya nn tena mkuu?Hekaheka.
Hausi geri anakuwaje zilipendwa?Zilipendwa
Evelyn salt sijakusoma " Nyg"Nyg mbaya
Ataanza kazi anayofanana nayoKazi gani ataanza nayo, Kufua au kuosha?? Jikoni kupika hawezi kwani bado ananyonya
Ndo safiHG ana lenzi mbinuko
Duuuhh halmahalufu candyAsanteni sana wadau kwa maombi yenu, yule Hausi geri kafika leo na kesho ataanza kaziView attachment 777422
Nitajikaza kuvumilia mkuu!!Kwa mzigo alionao house girl hapo lzm ndoa ipitie milima na mabonde.
Duuh!Kazi na dawa
Umecheka tena we vepee!Hahahaa