KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 255
Bila Lowasa kukatwa ndani ya ccm tusingesifia na kupongeza anayoyafanya Raisi Magufuli, maana Mkwere alikuja na jina lake toka mfukoni ambalo lilikuwa la Benard Membe, baada ya wajumbe kujua rafu hiyo ndio wakapiga kura za chuki kwa JPM hivyo ujio wa JPM ni matokeo kutokutendewa haki ya LOWASA. pili kuhama kwa Lowasa kwenda UKAWA(CHADEMA) hatimaye kuwa mgombea uraisi kulileta chanagamoto kubwa sana kwa ccm bila gori la mkono wasinge chomoka hivyo zile changamoto alizokutana nazo kwenye kampeni ndizo zina mpa hamasa Magufuli kufanya kazi, maana bila Lowasa hakuna Magufuli.