Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Hii lugha isiyo rasmi hairuhusiwi hapa. Edit comment plz
nitonye ameelewa,neno "mwagila'ibi" kwa mhaya lina uzito wa kipekee kwa mtu aliyetoka mazikoni ,uliza mhaya yeyote halina direct translation kwa kihaya,kuna tatizo? Tatizo ni kutukana mtu katika lugha asiyoielewa.
Last edited by a moderator: