Shukrani kutoka kwa Freeman Mbowe

Shukrani kutoka kwa Freeman Mbowe

Hizo ni propaganda za kihuni tuu! Hakuna mwanachama halali wa chadema anaweza kuthibitisha tuhuma hizo!!

CDM ina watu makini sana, hatuendeshwi kindezi kama unavyotaka kutuaminisha.

Hivi na Wewe ni Mwana CHADEMA Mwenzetu Mkuu? Basi kama CHADEMA yetu ya leo ina Watu ' Wavivu ' wa Kufikiri kama hivi Wewe ngoja tu nimtafute Msemaji wetu Humphrey Polepole nitangaze Kurejea rasmi Nyumbani CCM na nipewe Kadi yangu mpya, kwani kuna uwezekano mkubwa huku CHADEMA Kwetu sasa tumevamiwa.
 
Maamaa...unamsema yule mzee kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....... Mungu ni mwema hakika hekima unazo KAKA

Na hicho ndicho kinacho mtofautisha kwa kiwango kikubwa sana na upande ule.

Hiyo haisomewi kwenye vitabu au kuzungukwa na jopo la mapropesa. Ni kitu kinachoishi ndani yako na ukiwa nacho kamwe hakitoki hata wakutikise vipi.

Mbowe una hekima sana!
 
Kabisa kabisa namkubali ila nayo inachangiwa na malezi pia
 
Hivi na Wewe ni Mwana CHADEMA Mwenzetu Mkuu? Basi kama CHADEMA yetu ya leo ina Watu ' Wavivu ' wa Kufikiri kama hivi Wewe ngoja tu nimtafute Msemaji wetu Humphrey Polepole nitangaze Kurejea rasmi Nyumbani CCM na nipewe Kadi yangu mpya, kwani kuna uwezekano mkubwa huku CHADEMA Kwetu sasa tumevamiwa.

Ni habari njema sana kwangu kama utahamia huko Mkuu!!
 
Shameless idiot woman!!Hivi ndugu yako kagame ametawala muda gani we kenge?

Hivi unajua Mimi unayenitusi hivi ni Mwana CHADEMA Mwenzio Mkuu? Utaniudhi sasa nami nihamie rasmi CCM kama alivyofanya Mzee Lowassa sawa? Endelea tu Kuniudhi nihame CHADEMA leo hii hii.
 
Back
Top Bottom