HakikaManeno ya hekima sana haya
Huwezi kuyaona kwa mwenyekiti wa kile chama Kingine...
ni kweliManeno ya hekima sana haya
Maneno kama haya huwezi kuyaona yakitoka kwa mwenyekiti wa kile chama cha Kijani...
Kauli yake moja tu ingekuwa ishachafua hali ya hewa.
Mungu ibariki sana Chadema.
Waheshimiwa Wanachama, Viongozi na Wabunge!.
Naomba niwashukuru sana wale wote walioshiriki nasi kupigana, kulia na hata kuimarishana kwa njia mbalimbali katika kipindi chote cha miezi mitatu na nusu tuliyoishi gerezani.
Natambua na kuheshimu mno ushiriki wenu kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na Sala, ushauri, huduma ya chakula, michango ya fedha, solidarity support mahakamani na zaidi walioweza kutenga muda wao na kuja kututembelea na kutufariji gerezani Segerea kulikoambatana na zawadi mbalimbali vikiwemo vitabu & magazeti, matunda, maji, juice na hata machozi!!!
Nitambue kipekee kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na Mawakili Wasomi waliounda defence team yetu!! You were great all the way through!!
Nitoe shukrani vilevile kwa wale wote waliotoa support kwa familia zetu na hata kututunzia na kujenga kwa njia mbalimbali Majimbo yetu ya uchaguzi ikiwemo zoezi la Chadema ni Msingi.
Kwa wale walioshindwa vyote hivyo, watambue kwa dhati nawapenda na kuwaombea yote yaliyo mema..... au kama wapo wengine waliokwazika kwa njia moja au nyingine..... pia nichukue fursa hii kuwaomba msamaha na kuitaka amani miongoni mwetu!!
Aidha, niwape pole nyingi wenzetu wote waliokumbwa na maswahibu mbalimbali katika kipindi chote hiki!!
Tuimarishwe zaidi katika mapito haya ili itimie kauli ya “kesho yetu kuwa bora kuliko jana “
Mbarikiwe sana!!
Freeman Aikaeli Mbowe
Mkt (T), KUB & Mp HaiView attachment 1043611
Sent using Jamii Forums mobile app

Ni makosa kusema Mwenyekiti wetu ni wa kudumu, ni kinyume na sera/mfumo wa chama chetu cha Demokrasia na Maendeleo!!!Sisi wana CHADEMA wa Kutukuka tumekuelewa kabisa Mwenyekiti wetu wa Kudumu na Milele.
Ni makosa kusema Mwenyekiti wetu ni wa kudumu, ni kinyume na sera/mfumo wa chama chetu cha Demokrasia na Maendeleo!!!
Sisi wana CHADEMA wa Kutukuka tumekuelewa kabisa Mwenyekiti wetu wa Kudumu na Milele.
Sasa kama anang'ang'ania na hataki Kuwaachia wengine Sisi Wanachama wa CHADEMA ( GENTAMYCINE nikiwemo ) nikisema ni Mwenyekiti wetu wa Kudumu na Milele nitakuwa nakosea? au Wewe ni CCM Mkuu? Hebu niache na CHADEMA yangu tafadhali.