Shujaa wetu wa leo..

IMG_20160411_132019.png
Alipozipiga kavu kavu tena live pale mjengoni..
 
Kila akitajwa huyu mama nakumbuka hotuba yke Bungeni kipindi kile akimkashifu kwa sauti ya juu jazba kubwa Mzee Ngoyai..as if yy ni perfect sana safii Magu tumbua tu akahustle down town back to back na mtt wake Lemutuzzz..
sasa mambo ya siasa katka familia ya mzee malecela kwishaaa.
 
Le Mutuz nimekupata sasa tunaomba utuambie sherehe mnaifanyia wapi na Mama kwakua mzee wa Kazi alishamwambia Mama kua akafanye sherehe baada ya kufutwa kazi na sio siku yakupangwa kazi!
 
Huyu Le Mutuz kasoma kweli na vyeti vyake ni vya halali? Nauliza hivyo kwasababu kwenye hilo bandiko lake amechapia kingereza kweli kama kile cha wakina Kayumba!!
 
Huyu Le Mutuz kasoma kweli na vyeti vyake ni vya halali? Nauliza hivyo kwasababu kwenye hilo bandiko lake amechapia kingereza kweli kama kile cha wakina Kayumba!!
Mkuu kumbe na wewe umeona eeeh.... amechapia sana!
 
Back
Top Bottom