Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 80
- 112
Mimi kama shujaa wa ngao combat, naapa kwa mwenyezi mungu kuwa
1. Nitatumia ujuzi wangu wa kujilinda kwa haki na ulinzi tu, sinto tumia kwa uonevu, uhalifi wala kulipa kisase.
2. Nitawalinda watoto wadogo, jamii na taifa kwa ujumla.
3. Nitaishi kwa nidhamu, heshima, sadaka na utakatifu.
4. Nisaidie wanyonge na kuwafundisha njia ya ngoo combat.
5. Nitatunza ngao combat kama njia ya ulinzi na usalama.