Shujaa Olesendeka Apokelewa Jimboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shujaa Olesendeka Apokelewa Jimboni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Mar 13, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Unaweza muona shujaa wetu katikati. Kweli, ushindi huu ni mwanzo wa mapambano dhidi ya wezi wa haki.
   
 2. a

  afande samwel Senior Member

  #2
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .

  Asiye shujaa jimboni kwake ni yupi?
  Kumbukumbu zinaonyesha kuwa Edward Lowassa naye alipokelewa hivyo hivyo.Mzee wa Vicent naye alikuwa shujaa ki noma.
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Join Date: Sat Mar 2010
  Posts: 1
  Thanks: 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts
  Rep Power: 0


  Afande Karibu jamvini. Nimeipenda style yako ya utambulisho.

  Kila shujaa ana wafuasi wake. Shujaa wa kupigana na ufisadi atapokelewa na wanaopinga ufisadi. Anayefanya ufisadi atapokelewa na wanaonufaika na ufisadi.

  Ila shujaa halisi ni yule anayepigania maslahi ya walio wengi. Ole Sendeka Jimbo lolote akienda atapata mapokezi kama haya aliyoyapata jimboni mwake Tofauti na wengine.
   
 4. B

  BUBBA Member

  #4
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is high time now we stop judging the book with its cover.

  Huyu mtu, Ole Sendeka, hata kwao hakubaliki, this is the fact, ambaye hakubaliani nami aende Simanjiro anatokea kata ya NABERERA, familia yao pamoja na yeye wameharibu eneo hili mpaka anaingia usiku sana na kuondoka alfajiri sana na eneo hili ndilo ambalo mdogo wake wa kuzaliwa ni Diwani nae hatakiwi kwasababu ya unyanyasaji. Sherehe za mapokezi zilifanyika ORKESMETI eneo la mbali kabisa na kwao,kila mwenye akili timamu anajua jamii ile ilikusanyika kwasababu tu zilichinjwa Ng'ombe KUMI na Mbuzi wengi.

  This is what I call CHEAP politics, maisha yake ya kisiasa anayaendesha kwa huruma za wananchi bila ya kufanya lolote la msingi kwa jamii anayotokea. Anajipambanua kama mpiganaji wa Ufisadi lakini hili lina msaidia vipi kijana wa kimasai pale Naberera ilhali anazidi kuwakaribisha maswahiba wake kama MENGI kuchimba Tanzanite na kuendelea kuididimiza jamii ya kimasai.

  Ni wakati sasa atuambie Amejenga Zahanati ngapi ili kuokoa maisha ya watu wa Simanjiro,ili kupunguza vifo vya mama mjamzito ili kupunguza vifo vya watoto wa chini ya miaka mitano, Atuambie amejenga shule ngapi, atuambie anasomesha watoto wangapi wa jamii yakimasai kwenye shule mbalimbali, amewasaidiaje watu wa Simanjiro kupata Maji au ndio hivyo visima anavyowatuma vijana wake kufukia kwa sababu tu vimechimbwa na asiowapenda anaacha kuangalia maslai ya wananchi.

  Ni wakati sasa viongozi kuacha kujivika vilemba vya ukoka, na kuacha wananchi watupake mafuta na mgongo wa chupa.
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Saafi sana! mcheza kwao hutunzwa!

  Respect.


  FMEs!
   
 6. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haya maneno yanafaa sana wakati wa kampeni utakapofika uvae magwanda upande kwenye jukwaa uwaeleze wapiga kura wa Simanjiro hakuna haja ya sisi kututaka tuende huko tutaenda majimbo mangapi
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ushujaa wake ni nini hasa? Tusipake rangi upepo.
   
 8. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #8
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sasa alichaguliwaje, au alijichagua mwenyewe? Hebu substantiate hicho unachokiita 'fact'.
   
 9. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani hizo kura anapigiwa na wananchi wa Naberera pekee ama jimbo zima!! Haya yeye hakubaliki, nani anakubalika sasa huko Simanjiro?
   
 10. M

  Mchili JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yeye Sendeka kama mbunge afanye yote hayo au serekali ndo ifanye?? Mchango wake katika vikao vya bunge unajulikana bana mpe sifa yake. Hizo huduma za zahanati, shule na blabla nyingine sio simanjiro peke yake zinakosekana, ni nchi nzima hamna kutokana na serikali kiziwi tulizonazo zisizojali huduma za jamii. Serikali zisizoweka mipango na kipaumbele kwenye ustawi wa jamii.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Tatizo hata mie mbunge wangu ni chanzo cha matatizo ,analala Bungeni anaongea mala moja kwa miaka mitano , hana mpango na wananchi wake lakini akija anapokelewa kama Olesendeka sijui na huyu ni shujaa ??
   
 12. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani huyu jamaa anafaa sana kwa kazi kubwa.
  tafuta statistics za kibunge zaidi utajua ushujaa wa Sendeka upo wapi????
  Jitahidi kujenga hoja kwa maslahi ya taifa zaidi na si za kiitikadi.
   
 13. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Je hata wewe unashiriki katika mapokezi yake kwa staili hiyo????
   
 14. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata nabii hakubaliki nyumbani kwao. Sendeka amelipasha moto sana bunge la safari hii. Tunataka watu wasio na woga kulisema jembe kwa jina lake waziwazi bila kuangalia kushoto na kulia kwanza.

  Of course hawezi kupendwa na watu wote, hata Mungu hapendwi na kila kiumbe chake.
   
 15. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Lazima utimize vigezo gani mpaka uitwe "shujaa" - kwa style hii kila mtu Tanzania ni shujaa.

  hata ukishinda ki-jikesi cha ajabu ajabu basi ushaitwa "shujaa" - haya tujiandae kuongeza list ya mashujaa wetu mbali na akina Isike, Mkwawa, Mirambo...nk
   
 16. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Hapo ndipo na mini nina wasiwasi kwamba vigezo gani hawa jamaa wanatumia kumwita mtu shujaa - thanks Firstlady1.
   
Loading...