Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
7,524
Reaction score
11,860
Let's do the math. Ilimchukua dk ngapi huyu hero kufungua mlango then na kuokoa watu,

Ukiachilia mbali ile theory ya kuufungua mlango wa ndege kwa Kasia bado watu hawajaielewa vizuri tutaijadili baadae.

Baada ya kufungua mlango shujaa aka dive kutaka kumuokoa pilot lkn alikatazwa kuvunja kioo Cha ndege na mtu asiyejulikana na mpaka Sasa hajulikani.

Baada ya mtu asijulikana kumkataza shujaa asipasue kioo shujaa aka dive tena kurudisha mawasiliano kwa pilot kwamba nimezuiwa nisivunje kioo na shujaa akaonesha ishara ya kuaga kuondoka huko chini ya maji

Sasa haeleweki hiyo kamba iliyokatika na kumchapa shujaa ilikuwa wkt gani wkt anafungua mlango ili abiria watoke au baada ya kushindwa kupasua kioo kumuokoa muongoza ndege?

Lkn Sasa manusura wa ajali wameanza kuzungumza kwamba ndege ilianza kuingia maji dk1 tu tangu ipige mbizi baharini.

Cha ajabu ni kwamba miongoni mwa watu wote walioshiriki uokozi ni shujaa pekee ndiye aliyefuatwa kuhojiwa na TBC.

Maswali ni mengi kuliko majibu

What is behind kwa ku rise shujaa Majaliwa?

Msinipige mawe tujadili.
 
In life omba bahati mengine yote utazidishiwa.

Ni dhahiri Majaliwa hakufanya uokoaji mwenyewe ila bahati imemuangukia yeye.

Mandonga mtu kazi alipigwa ila ndo alijulikana kuliko mshindi.

Pierre liquid alipewa Hadi ubalozi wa taifa stars kwa ulevi wake.

I'm a hardcore believer of hard work ila bahati plays a part hata kama ni 0.1% that .1% could be a game changer. Omba bahati mengine yote utazidishiwa
 
Basi tufanye ww ndio uliwaokoa umerizika?

Jitu zima kumuonea wivu kijana mdogo kama huyo ni aibu kubwa na ni uchawi.

Hata kama sio yeye aliye vunja mlango lakini kitendo cha kuhatarisha maisha yake kwa kujitosa ndani ya maji kwa lengo la kuokoa watz wenzake wakati askari wenye dhamana walikuwa wamesimama ufukweni wakiangalia tu huo ni ushujaa tosha.

Acha wivu maana hata hiyo wivu haitabadilisha chochote zaidi ya kujiumiza moyo wako.
 
Stuka usingizini
 
Mimi nahitimisha kuwa dogo niwamchongo ndio maana ndicho kitu mnapenda kusikia ili mfurahi, lakini pia dogo ameshatoboa kimaisha hata kama tushinde na tukeshe tunamjadili haitabadili kitu, hata kama hakuokoa mtu kitendo cha kijana mdogo kama huyo kufika tu eneo la tukio wa kwanza ni ujasiri tosha ingekuwa nyie vijana wa Dar mngesimama pembeni kupiga picha na smart zenu kama waandishi wa habari, vijana tuacheni wivu kuna vitu vingi vya kujadili vinavyoweza kubadili maisha yetu.
 
Basi tufanye ww ndio uliwaokoa umerizika?

Jitu zima kumuonea wivu kijana mdogo kama huyo ni aibu kubwa na ni uchawi.

Hata kama sio yeye aliye vunja mlango lakini kitendo cha kuhatarisha maisha yake kwa kujitosa ndani ya maji kwa lengo la kuokoa watz wenzake wakati askari wenye dhamana walikuwa wamesimama ufukweni wakiangalia tu huo ni ushujaa tosha.

Acha wivu maana hata hiyo wivu haitabadilisha chochote zaidi ya kujiumiza moyo wako.
Ndio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio

then yy ndio aojiwe pekee kati ya wote waliokuwepo

tafakari
 
Haijalishi alisaidia au hakusaidia hata kama hakuufungua huo mlango, kwanza inawezekana hiyo ndo Mara yake ya kwanza kuisogelea ndege na hajui chochote kuhusu mlango wa ndege lakini nia na moyo wake wa kuhitaji kutoa msaada na kujaribu kuufungua kwa kupiga na kasia bila kuhitaji malipo ya yeyote hiyo inatosha kwake kupata neema zote alizopata sasa.

Wapo watu na unform zao tena jeshi la wananchi wanalipwa mshahara lakin walibaki nje ya ziwa huku wamekunja mikono Kama wanaangalia sinema hata kushiriki kuvuta kamba tu hawakushiriki, alicho kifanya majaliwa siyo kitu kinacho weza kufanywa na watu Kama wewe, wewe kitu pekee unachoweza kufanya ni umbea na kumfatilia Mangekimambi huko Instagram
 
Back
Top Bottom