Shujaa kijana ws Kirusi (RUSSIA)

Wa Tz. Hivyo ndivyo tulivyokuwa kwenye miaka ya 60;70 na 80. Lakini sijui kwa nini tumebadilika ghafla na kukosa uzalendo.

Hata hao wazee wetu nao wamebadilika kwa kutokuwa na msimamo hadi kupelekea kuhama vyama. Ni vyema wa Tz. tungejitambua.

R.I.P Kijana wa Komsomol.

kombora likuchan chana huku mkuu wako aksikia anasema afadhali manake mke wake kanisumbua sana sas namtafuna bila chumvi. Huo uzalendo utatokea tundu gani?? la chini au la juu??
 
Wa Tz. Hivyo ndivyo tulivyokuwa kwenye miaka ya 60;70 na 80. Lakini sijui kwa nini tumebadilika ghafla na kukosa uzalendo.

Hata hao wazee wetu nao wamebadilika kwa kutokuwa na msimamo hadi kupelekea kuhama vyama. Ni vyema wa Tz. tungejitambua.

R.I.P Kijana wa Komsomol.
Tatzo tz utapeli mwingi sana askari akijitoa mhanga akafia vitan familia yake ndio inasahaulika kabisa ,kama alikuwa anaishi kota basi familia inafukuzwa kabisa malipo yote yanaishia mikononi mwa wengne huku watoto wa marehem wakiganga njaa
 
Walipiga bom aina gani mpaka mwili wakaenda kuuzika moscow? , au grenade. Alafu huyu askari kafa hajafaidi dunia kabisa kapata hasara kweli, ni bora angekuwa straiker wa mpira angekuwa kama ronaldo anakula kuku, yaani zile club kali za pale moscow kama ile ya Mio Dj Cafè hajafaidi kabisa.
 
Huyu komandoo aliagiza jeshi LA anga la urusi lishambulie mahali alipo
hivyo alikufa pamoja na wapiganaji wote wa Isis
waliomzingira.
 
Unaweza kutenda ushujaa kama huo kwa Taifa linalojali utawala wa kikatiba kisheria na demokrasia, hata ukifa kitakachofuata kwa heshima kitaifaa familia yako kwa haki, vinginevyo ni ujinga kukubali kifo wengine wabaki wanatumbua dunia.

Kwa hiyo alichofanya huyo dogo ni ujinga, kwa vigezo vyako hivyo?
 
Ningeshawishika kumuona shujaa kama angejiokoa katika dhahama hiyo lkn kwa kujiua namuona muoga tu wa mapambano komandoo gani mjinga mjinga bora kajiua.
Unajua maana ya kuzingirwa wewe? Unajua nyie watu msione watu wanatembea mkafirkia mchezo haya maisha ya ujeshi watu wanahenya ili wewe upate muda ule chips na kuku dororo..sio rahisi na kwasabbu hujui vita nakushauri kula kiroba kimya kimya....ww kwanza naamini ungejiharishia kabla hujaomba hata kuuwawa...
 
Labda niwambie kitu ambacho wengi wenu yawezekana hamkijui..
Afsa usalama wa Jeshi nikimaanisha Mashushu silazima awe komando ila inatakiwa awe na Maroon Barret pia wanapokuwa katika mission wanakuwa na pills ambazo ni sumu na wengine wanakuwa na meno ya sumu..hivyo akishazingirwa na adui yake ana chaguo maana anajua kitakachofatia ni mateso makali kwani maadui wanahitaji taarifa za upande wapili na wewe umekula kiapo cha utii kwakutotoa siri ya jeshi lako!!Hivyo njia rahisi ni kujiua wanajiua kwa kunywa sumu vidonge,au jino la sumu,na ikumbukwe makomando wakikutana wanaishara zao komando kwa komando hairuhisiwi kuuana!!Ukiweza mpe njia aondoke!!.
 
Huu ndio uzalendo, sio kuvaa nguo za kijani na njano na kukimbizana na rangi nyingine majukwaani na kwenye shughuli za kitaalam, nchi hii ina vituko haswa.
 
Ningeshawishika kumuona shujaa kama angejiokoa katika dhahama hiyo lkn kwa kujiua namuona muoga tu wa mapambano komandoo gani mjinga mjinga bora kajiua.
Wakati mwingine ni bora kusoma tu bila kukomenti chochote.
Utakua hujui wanacho fanyiwa...mateka na haya makundi yenye msimamo mikali mfano ISIS.
Mshahara wa Spying ni death.. Ukomandoo ni mafunzo ya hali ya juu tena kwa nchi kama urusi makomandoo huwa wame iva kwel kwel
 
Huyu komandoo mrusi alijiua huku akifa na wapiganaji kadhaa WA Isis, mpaka waarabu walishangaa mbinu Yao imewamaliza wenyewe.
Hapa jana kwenye jamvi kuna kijana alikuwa anataka kazi ya upelelezi jeshi la polisi ila hataki kwenda depo yeye anadhani walioweka utaratibu wa depo haziwatoshi, aje apate picha halisi ya kazi anayoitaka kwa mfano wa kijana huyu.
 
Walipiga bom aina gani mpaka mwili wakaenda kuuzika moscow? , au grenade. Alafu huyu askari kafa hajafaidi dunia kabisa kapata hasara kweli, ni bora angekuwa straiker wa mpira angekuwa kama ronaldo anakula kuku, yaani zile club kali za pale moscow kama ile ya Mio Dj Cafè hajafaidi kabisa.

Kwani ronaldo ni striker?
 
Bw mdogo kabisa. Msiseme uzalendo hatuna, uzalendo unajengwa kwa gharama kubwa. Huku kwetu nani yuko tayari kwenda kufia nchi kati ya watoto wa vigogo waliojazana jeshini? Wanakwenda kama fursa ya ajira ikizingatiwa hatuna choko choko nyingi za kuhatarisha maisha yao.
Ndani ya JWTZ hakuna mtoto Wa Kigogo, mule Luna wananeshi wapiganaji Wa JWTZ tu, not otherwise
 
Back
Top Bottom