Shujaa kijana ws Kirusi (RUSSIA)

Shujaa kijana ws Kirusi (RUSSIA)

Labda niwambie kitu ambacho wengi wenu yawezekana hamkijui..
Afsa usalama wa Jeshi nikimaanisha Mashushu silazima awe komando ila inatakiwa awe na Maroon Barret pia wanapokuwa katika mission wanakuwa na pills ambazo ni sumu na wengine wanakuwa na meno ya sumu..hivyo akishazingirwa na adui yake ana chaguo maana anajua kitakachofatia ni mateso makali kwani maadui wanahitaji taarifa za upande wapili na wewe umekula kiapo cha utii kwakutotoa siri ya jeshi lako!!Hivyo njia rahisi ni kujiua wanajiua kwa kunywa sumu vidonge,au jino la sumu,na ikumbukwe makomando wakikutana wanaishara zao komando kwa komando hairuhisiwi kuuana!!Ukiweza mpe njia aondoke!!.

Makomando wa majeshi mawili tofauti yakipigana hawaruhuisiw kuuana ndo unachomaanisha?
 
Kijana mdogo sana, pumzika shujaa. Ameacha mke mrembo sana
 
Walipiga bom aina gani mpaka mwili wakaenda kuuzika moscow? , au grenade. ....
Mkuu, hata mimi nilijiuliza sana hili swali sikupata majibu! Hebu wataalamu wa masuala ya mashambulizi ya angani watusaidie.
 
Back
Top Bottom