Shujaa Alphonce Mawazo ajengewa sanamu la kumbukumbu Geita

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Hakika mpigania uhuru huyu ataendelea kuenziwa milele



Pamoja na kwamba aliuawa kinyama na watu waliotumwa na wanaofahamika lakini jeshi la polisi lilijivika miwani ya mbao , Bali kinachojulikana ni kwamba HAKUNA MIONGONI MWA WAUAJI WA ALPHONCE MAWAZO ATAKAYESALIMIKA.

Mungu ibariki Chadema .
 
Hivi Lema aliwachukua watoto wake kuwasomesha?
 
ni mwamko wa ajabu sana ! kujenga sanamu kwenye mkoa katiri zaidi africa kama geita ni ujasiri wa ajabu sana ! ( kumbuka kwamba Geita ndio eneo linaloongoza kwa unyama Barani africa kwa sasa )
Interahamwe wanauona upepo unavyobadilika wameingia mitini na wanajua tunawajua listi yao yote hawana ujanja wakijaribu tena cha moto watakiona na wao wanajua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…