Shughuli za Upigaji kura zachelewa Uganda

Shughuli za Upigaji kura zachelewa Uganda

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
858
Reaction score
1,655


Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo kuwachagua rais na wabunge.
 
Kwani nanu na nanu wanagombea huko au yule babu bado yumo? nipo njee ya muda wakuu.
 
Back
Top Bottom